Zuku wapo vizuri? Nataka ninunue zuku msaada tafadhali

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,878
Nimechoshwa na Startimes nataka ninunue zuku je wapo vizuri?

Local channel kubaki baada ya kifurushi jee

Ubora wa picha jee wana HD?
 
Siko hapa kwaajili ya kuharibu biashara za watu lakini kwenye ukweli tuseme zuku hawako vizuri na ndio maana unaona huko sokoni hawafanyi vizuri wanalalamikiwa hasa upande wa mawimbi yasio tulia yaani
 
Tatizo la ZUKU kifurushi kikiisha uwezi kuona channel yoyote ile, na kwa upande wa Local channel wanazo chache Sana, ITV haipo, clouds Halisi haipo, na zingine nyingi, Ila kwa upande wa picha Ni nzuri.

Me nnacho changu mtu akitaka hata bure nampa
 
Nimechoshwa na Startimes nataka ninunue zuku jee wapo vizuri?

Local channel kubaki baada ya kifurushi jee

Ubora wa picha jee wana HD?
Ubora wa picha Ni mzuri, Ila kifurushi kikiisha huwezi kuona channel yoyote, ITV haipo, CLOUDS original haipo,

Njoo nikuuzie yangu na dishi kwa 50k
 
Siko hapa kwaajili ya kuharibu biashara za watu lakini kwenye ukweli tuseme zuku hawako vizuri na ndio maana unaona huko sokoni hawafanyi vizuri wanalalamikiwa hasa upande wa mawimbi yasio tulia yaani
Asante kwa taarifa mkuu
 
Tatizo la ZUKU kifurushi kikiisha uwezi kuona channel yoyote ile, na kwa upande wa Local channel wanazo chache Sana, ITV haipo, clouds Halisi haipo, na zingine nyingi, Ila kwa upande wa picha Ni nzuri,,
Me nnacho changu mtu akitaka hata bure nampa
Duuh
 
Naona saivi Zuku wanauza unlimited internet kwa mwezi, biashara ya ving'amuzi kidogo imekuwa taabu kwao
 
Zuku sikushauri kila siku movie ndio hizohizo vipindi ndio hivyohivyo wako vizuri kwenye kuomba maoni ya mteja lakini ukiwaza maoni hamna kinachofanyika
 
Tatizo la ZUKU kifurushi kikiisha uwezi kuona channel yoyote ile, na kwa upande wa Local channel wanazo chache Sana, ITV haipo, clouds Halisi haipo, na zingine nyingi, Ila kwa upande wa picha Ni nzuri.

Me nnacho changu mtu akitaka hata bure nampa
Hapo sio kweli. Zuku ina option ya kusearch FTA (Free to Air) channels. Hata usipolipa hizo FTA zipo japo si za bongo lakini atleast unaweza papasa macho. Channel kama DW, france 24, nhk, RT etc huwa zipo uanona bure. Ila kwa channel za bongo hao wana TBC tu na labda zile za sinema.
 
Back
Top Bottom