Zuku king'amuzi kinaonyesha soka live? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuku king'amuzi kinaonyesha soka live?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eliesikia, Feb 25, 2012.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Wakuu
  Hivi hawa wakenya na zuku tv zao watakuwa wanaonyesha ligi gani live? Najua kuwafikia DSTV ngumu lakini watakuwa na matone ya burudani murua angalau. DSTV inaua pesa zetu sana.
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Fafanua ligi ipi kama epl hawana ila mechi za ligi zingine baazi wanaonyesha we unataka ligi hipi ?
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Linapokuja swala la mpira wa miguu EpL inakuwa ya kwanza kabisa zingine zinafuatia
  So hata mimi nataka kujua kama wanajpya gani kuliko Startime,Ting na Easy tv au ndio wale wale tu chaneli 40 halafu upuuz.i mtupu

   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,954
  Likes Received: 1,514
  Trophy Points: 280
  Zuku huonyesha EPL siku ya Jumamosi kupitia UBC ,halafu wana Zuku sport na Setanta Africa,Startimes wamewazidi Zuku kwenye kuonyesha ligi ya Italia,Zuku hawaonyeshi ligi ya Italia ilihali ST huonyesha ligi ya Italia live,hapo ndio utata nimeacha ST kwenda Zuku na matokeo yake nakosa kipute cha Italia ambacho kwa maoni yangu kwa sasa ndio kipute bora Ulaya kuliko hata EPL
   
 5. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaweza ukanipa cost za kuweka hivi ving'amuzi vya Startimes/Zuku na gharama za package zao kwa mwezi(maana nona kwenye website inakuwa mgogoro)...!
   
 6. G

  GENDAEKA Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiv gharama za startime zimeshuka kutoka sh 9000-sh.3000 na kutoka sh.18000-sh.5000?
   
 7. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkuu unaweza kunisaidia hicho nilichouliza hapo juu? najari kucheki www.[B]startimes[/B].co.tz lakini ngoma haifunguki
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  hakunaga makitu kama hayo..
   
 9. m

  mbugabire JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2015
  Joined: Nov 15, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wakuu naombeni msaada kujua bei ya kifurushi kwenye king'amuzi tajwa ili niweze kuona EPL live
   
 10. g

  golota JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2015
  Joined: Mar 28, 2014
  Messages: 541
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  nani huyo kakudanganya!
   
 11. m

  mbugabire JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2015
  Joined: Nov 15, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ATN wanarusha mkuu,nimeona tangazo lao channel 10
   
Loading...