Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

Hakuna siku niliyofurahi Kama hii baada ya US secretary of state kum blacklist Makonda Kama mtu hatari asiyetakiwa kukanyaga ktk taifa hilo kubwa Duniani kuliko yote..
Ni Makonda amekuwa akitumia madhabahu za Kanisa la Mungu kujifanya kwamba yeye ni mcha Mungu kumbe ni mtu aliyejaa uovu wa kila aina .
CIA wana ushahidi wote jinsi Makonda alivyohusika ktk mission ya mauaji ya Ben Saanane na jaribio la mauaji ya Tundu Lissu yaliyofeli .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika ktk kutengeneza Photoshop video ya kumchafua Mtumishi wa MUNGU Gwajima .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika na mauaji ya mamia ya watu waliokuwa wakitoswa Baharini na mto Ruvu .
Lakini lengo la Marekani siyo Makonda, bali mfadhili wake, huyu ndiye hasa wanayemtafuta kwa udi na uvumba..
Tumemwomba sana Mungu ili Haya mambo yafike tamati, hatimaye muda umefika sasa. ..
Moto umewaka, taratibu utaunguza kila kilichokusudiwa.
Nimeshaandika mara nyingi humu kuwa Damu isiyo na hatia inamlilia Mungu ikidai kisasi.
Damu ya Azory Gwanda, Damu ya Alphonce Mawazo, Damu ya Ben Saanane na wengine wengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...!
P
 
Hapo kwenye video ya Gwajima sijui...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujiewi kabisa na nadhani huwa zunakutoka mala 4 kwa week

Huyo unayemwita Beberu unachuku condom
Huyo unayemwita Beberu anakupa dawa za ARV
Huyo unayewita Beberu anavitabu vingi mashureni vimeandikwa not for sale
Hiyo ni kwa uchache tu

Yani wewe hujitambui takataka kabisa nadhani usha tumbukia chooni ukaopolewa na akiri zikakuruka

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau pia huyo huyo beberu anataka mkyundu wako utumike ndivyo sivyo....
 
Hakuna siku niliyofurahi Kama hii baada ya US secretary of state kum blacklist Makonda Kama mtu hatari asiyetakiwa kukanyaga ktk taifa hilo kubwa Duniani kuliko yote..
Ni Makonda amekuwa akitumia madhabahu za Kanisa la Mungu kujifanya kwamba yeye ni mcha Mungu kumbe ni mtu aliyejaa uovu wa kila aina .
CIA wana ushahidi wote jinsi Makonda alivyohusika ktk mission ya mauaji ya Ben Saanane na jaribio la mauaji ya Tundu Lissu yaliyofeli .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika ktk kutengeneza Photoshop video ya kumchafua Mtumishi wa MUNGU Gwajima .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika na mauaji ya mamia ya watu waliokuwa wakitoswa Baharini na mto Ruvu .
Lakini lengo la Marekani siyo Makonda, bali mfadhili wake, huyu ndiye hasa wanayemtafuta kwa udi na uvumba..
Tumemwomba sana Mungu ili Haya mambo yafike tamati, hatimaye muda umefika sasa. ..
Moto umewaka, taratibu utaunguza kila kilichokusudiwa.
Nimeshaandika mara nyingi humu kuwa Damu isiyo na hatia inamlilia Mungu ikidai kisasi.
Damu ya Azory Gwanda, Damu ya Alphonce Mawazo, Damu ya Ben Saanane na wengine wengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona haujamtaja kamanda chacha wangwe? Jaribio la kumuua Kagenzi aliyekuwa mlinzi wa Dr.slaa.

Vipi jaribio la kumpa sumu zitto kule bagamoyo?
 
Wanabodi, Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani inaonyesha Paul makonda amedhulumu watu haki ya kuishi hapa Tanzania

Je, anahusika na mauaji, utekaji wa watu na kushambulia Raia?

Je, hayo majina kwanini kama Taifa tusiletewe ili kujua idadi kamili

Idadi ya waliopotea au kufanyiwa mauaji inyojulikana ni ya wanasiasa tu na waandishi wa habari

Je, watu ambao ana chuki nao au wanapishana kimtazamo kazini nao anawanyima haki ya kuishi kimya kimya

Makonda kama mtu smart yampasa kuanza kutafuta nchi au makazi ya kwenda kuishi nje ya nchi, Hapa Tanzania kwake alishachafuka ni suala la muda tu

Je, ni nani Makonda anashirikiana nao kuwatoa watu uhai?
 
Mheshimiwa Rais,

Natambua kwamba wewe unayo mamlaka ya kutambua na kutumbua. Natambua pia kwamba wewe unatambua uwezo wa taifa la Marekani katika kupata intelijensia ya yanayojiri katika taifa lako ikiwamo tuhuma dhidi ya Makonda.

Wewe kama Mkuu wa nchi unayo nafasi ya kuhakikisha kwamba unaionyesha dunia kwamba wewe huungi mkono matendo ambayo ndugu Makonda anatuhumiwa na kuhusishwa nayo. Natambua pia kwamba unao uwezo wa kumpa hata kaubalozi huko nchi za mbali ambako ataweza kuwa salama na mbali na siasa za hapa nchini.

Iwapo yote aliyofanya ni kweli au si kweli ama ulimtuma au hukumtuma nakusihi sana uchukue hatua ya kuonesha kwamba wewe humlindi ili matukio haya anayotuhumiwa haya yasiendelee kuonekana kwamba ni matendo yaliyotendwa na Serikali bali yawe ni kwa utashi wake binafsi.

Wakati wa kutengua uteuzi wake ni sasa.Ni kama unaona kwamba hujapata mtu sahihi wa kuendesha jiji la Dar es salaam wapo wengi tu.Unaweza hata kumteua Polepole maana naye ameanza kupoteza mvuto kwenye nafasi yake ya uenezi, au unaweza kumleta yule Mrembo aliyeko Kisarawe.

Natumaini kwamba utachukua hatua stahiki.

Vile vile nimeona nafasi ya Mkurugenzi wa habari maelezo iko wazi.Nafikiri ni wakti sasa wa kumfikiria Mayala na kumpa nafasi hio atuoneshe uwezo wako

Nakutakia 2020 njema.
 
Kwani Roma kesharudi bongo🤔
....ok nimekumbuka tuliambiwa Hana elimu ya kutosha kuongea na wasomi....tuendelee na mjadala.
 
Ogopa sana watu wenye technology yao, maovu yanayotendeka yote wanayajua, hapa Makonda mwenyewe analijua hilo damu zisizo na hatia zitamuandama sana
 
Back
Top Bottom