Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

Kama ni adhabu ni sawa na ‘a slap on the wrist’ it is very minimal,as far as US sanctions go uoni madhara yeyote kwa serikari.

But it is a warning serikari iache kuangaika na the likes of Kabendera, viongozi kuropoka ovyo na kuangaika na vikao vya ndani vya upinzani.
 
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini au usiamini! Tamko la Pompeo aliloliweka masaa 18 yaliopita kwnye account yake ya TWITTER limepata Reply 1179.
Retweet : 2032.
Like : 6703 na baado watu wanaendele kuchangia huko TWITTER
Screenshot_20200201-155731.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo Jambo linataka kukuzwa bila sababu, hizi Ni tuhuma hakuna mahali Makonda kashitakiwa.

Ni vyema Makonda aombe kukutana na Balozi wa Marekani ili amweleze kosa lake ni Nini, na kama kuna tuhuma basi apewe muda azijibu.

Baada ya hapo iundwe time ya pamoja Kati ya Marekani na Tanzania ipitie tuhuma zake na suluhisho lake report ipelekwe pande zote mbili kwa utekelezaji.

Baadae Makonda aonane na Pompeo amuombe radhi kwa tuhumu za kweli na tuhuma za uongo amweleze kuwa amemsamehe kwani na yeye ni binadamu.

Hatuhitaji kugangamala kama Albashir, tunahitaji kuwa wanyenyekevu na wasikivu, huo ndio uungwana. Uhuru Kenyatta pamoja na kuwa ni Rais alienda ICC na akahudhuria kesi na Sasa Yuko huru.

Pompeo hajawahi onana na Makonda Wala hamjui Ni maneno ya kuambiwa tu.

Binafsi maovu ya Makonda siyajui, najua anahamasisha ujezi wa shule na zahanati. Anaendesha harambee za tiba za moyo kwa watoto. Anapambana na majizi na wala madawa ya kulevya. Anapambana na uzembe kazini.

Amueleze Pompeo kuwa Hawa wanaompiga vita ni wachuuzi wa madawa ya kulevya. Magenge ya wezi maarufu Kama panyaroad. Matapeli ya viwanja na wabadhirifu wa mali za umma.
😂😂😂 hawakurupuki inawezekana wana mpaka picha za matukio
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.

To hell with America!. Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu Pascal Mayala kiukweli wewe kuja na maoni Kama hayo sishangai, inawezekana Bwana Makonda ni wa KUNYUMBA, hata mimi ingekua aliefanyiwa ni MZARAMO mwenzangu ningekuja na kauli Kama ya kwako pila kujali sababu Pompeo iliyo mfanya amwekee ziwiyo Kama Hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi tukiwa na wajinga watatu kamawewe tumekwiiisha!!
Huyo si mjinga hata kidogo bali ni mpumbavu. Elimu alipata lakini hakuelimika. Alifanikiwa kujua kkk tu, maarifa hayakuongezeka. Hiyo id yake tu inaonyesha alienda shule. Jina hilo kulijua ni kwamba uwe umesomea utabibu - nigrastratatract! Lakini ni aibu tupu kwa profession hiyo. Pengine kwa sababu ya ugumu wa hiyo taaluma na alikwenda kwa sababu asizozijua hata yeye mhusika amemex! Uwezo kwenye hiyo taaluma hana hivyo lazima kulamba miguu kuambulia uratibu tibi na ukoma wilaya. Ni mpumbavu mtia kichefuchefu.
 
Fragrance denial of the right to life....

Kaka si unajua Mm nliishia la 6 B pale Buguruni Malapa Primary School... Hiyo kauli inamaanisha nini?
due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.

Gross violations of human rights.....
Fragrance denial of the right to life....
Credible information...

Zingatieni sana hizo sentence tatu zimebeba ujumbe mzito sana.. Kwa maana hiyo kuna wengine watafuata kwenye hiyo list... Na kama ikitokea issue ya ICC.. Huo ndio msingi wa mashtaka....

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.

To hell with America!. Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
You don't USA and what you are advising the government! Hujui makao makuu ya UN yapo Washington? We need USA more than they need Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kazi ipo. Kingereza kilikuja na meli mkuu we andika kiswahili tu
I did it purposely, though my English is not that perfect but not as bad as what I've written before. Glad you noticed. Ngoja nirudi sasa kwenye lugha yetu pendwa ambayo haikuja na meli. Hivi mada ilikuwa inahusu nini vile maana naona imeshaunganishwa kwenye uzi mwingine ?
 
Back
Top Bottom