Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

Haitapita muda, tutashuhudia kuporomoka kwa shilingi yetu.

Kuna watu kazi yao ni kukejeli. Niliwahi kusema hapa kuwa maamuzi juu ya Tanzania yamekwishachukuliwa na mataifa. Kinachosubiriwa ni uchukuaji hatua.

Haya yote ni utangulizi lakini makubwa zaidi ni baada ya uchaguzi. Tukikosea tu, tukaendelea na yale mambo ya kuiba kura, kufunga watu ovyo ovyo, kuwatangaza watu ambao hawakushinda, upendeleo kwa CCM wakati wa kampeni na wakati wa uchaguzi, sote tutajutia lakini wapo watakaojuta mara mbili zaidi.
 
Wewe hujiewi kabisa na nadhani huwa zunakutoka mala 4 kwa week

Huyo unayemwita Beberu unachuku condom
Huyo unayemwita Beberu anakupa dawa za ARV
Huyo unayewita Beberu anavitabu vingi mashureni vimeandikwa not for sale
Hiyo ni kwa uchache tu

Yani wewe hujitambui takataka kabisa nadhani usha tumbukia chooni ukaopolewa na akiri zikakuruka
Keng* kasoro mkia wewe badala ulaumu vibaraka wa mabeberu unalaumu selikali. Hivi unadhani hao viongozi wataumia au ni walala hoi kama wewe mtaumia

God save us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikataba hiyo ndio Magufuli anarekebisha, mabeberu wanatumia mbinu zote kumkwamisha.
Magufuli ameshiriki ktk hiyi mikataba akiwa memba wa cabinet zaidi ya miaka 20. Kama ana nia njema mbona mikata yake ya madini yote anaweka siri.
 
Nina wasiwasi na tarifa hii sababu ninavyojua taarifa kuzuiwa mtu kuingia Marekani hazitangazwi bali inakuwa ni kati ya mhusika na serekali ya Marekani, kuna mwaka pale Kenya kuna viongozi walizuiwa kwenda Marekani lakini hawakutangazwa na pale waandishi wa habari walipododosa ubalozi ukasema taarifa ni siri kati ya mhusika na ubalozi,sasa ya kutangaza hadharani inanitia shaka kama hii habari ni ya kweli labda taratibu zibedirika kwenye utawala wa Trump

Utaamini tu ndugu yangu,nenda kwenye TL ya Pompeo Twitter,uzuri iko verified!
 
Wapige marufuku kila kitu ikiwezekana wazime mpaka umeme tubaki giza,yaani tupigike zaidi ya Zimbabwe mpaka tukose muda wa kulumbana mambo ya lumumba na ufipa ndiyo tutajifunza kutafuta siyo kulialia tu.
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Wasiojulikana wameiponza awamu ta tano. Hakuja Rogue element yoyote inafanya mauwaji ambayo CIA wakiamua watashindwa kujua aliyeko nyuma yao.
Kumzuia makonda ni kutoa taarifa kuwa hata waliokuwa nyuma yao wajiandae kisaikolojia ama waacge ushenzi wao ama wakaifi cha moto kiwapate.

MIMI NAUNGA MKONO HATUA ZA MABEBERU HAWA 100%
 
Mlokole Pompeo anamuadhibu mlokole mwenzake Makonda, swali, hivi Daudi ana nia au hata ndoto ya kwenda huko kikazi?, mambo mengine yanafurahisha sana... hio adhabu itamfanya aache kuwadhibiti mashoga wa Bongo kweli?
View attachment 1342730
View attachment 1342609
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom