Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,767
Sasa pamoja na maajabu hayo, nani alimwambia kuwa ili maajabu yatokee ni lazima awafanye watu kuwa watumwa wake!!?Hatuwezi kukutana nao ICC kwa sababu Amerika sio mwanachama. Wanahofia marais wao kushtakiwa huko. Wanajua Marais wao wanatembea na damu za wanaulimwengu walio waua.
Ndiyo wanamtafuta Rais wetu, Rais Magufuli. Viongozi wote wa nchi zote za Maghari zinamwofia Rais Magufuli. TV zote za kimataifa siku hizi hazitaji jinalake wala hawayasemei maendeleo yanayotokea Tanzania. Wako kimyaa! Wana sikilizia.
Maajabu anayo yafanya Magufuli wazungu wanayahofia sana, kwani Tanzania ikifanikiwa tu nchi nyingi za Afrika zitataka kufanya kama Tanzania na hapo ndipo utakuwa mwisho wao.
Rais Magufuli usiende nje mpaka SGR na Nyerere Dam zimemalizika.
Sent using Jamii Forums mobile app