matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,538
- 15,175
Kwa nini makonda asiwafukuze wamarekani wote na ubarozi wao kwenye dar es salaam yake kujibu mapigo wakuu?
Hivi Mbs walimwekea zuio la kuingia USA? If not, why?
Hahah mabeberu bana.Wewe ndio fala hata hujajua mantiki ya swali langu. Ila sikulaumu. What did I expect from a nyumbu like you!
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
LolKwa nini makonda asiwafukuze wamarekani wote na ubarozi wao kwenye dar es salaam yake kujibu mapigo wakuu?
Uzuri hii ni 2020
Election Year
mtihani how many people can vote for...
And does voting even matter?.
Tusubiri tuone
Yani nataka tu uelimike kwa kufahamu who is USA?!Uwezi ukaniambia niende google wakati nina uhakika na point nilizo ziandika na ninaamini ninacho kiamini,
Wewe ndio ungetuambia Who's USA na kama mikutano inayo fanyika ina vibali kwanini imekuwa ikizuiwa?
Wananchi wa hapo Dsm wanajua kuwa anapiga dili na huyo mkurugenzi wa jiji kila miradi wana 10% yao huku akishiriki kuwabambikia kesi wapinzaniNaona visingizio vya uzalendo sasa vinaisha vyote. Tujiulize kwanini Watanzania wengi wamefurahia hili!
Asijali atatumia Skype,abaki hapa hapa nyumbani kumenogaaaaaaHii ban aliyopewa naona mkuu Wangu kazi itamsumbua Sana hata kwenye kupewa visa za kwenda European countries
Sent using Jamii Forums mobile app
mwambieni aje Mexico kuna chocho hilo mabaharia ndio wanatumia kutusulia boda mpaka ndichi. ila mtoto wake amwache huko huko.Mtoto wake hayupo sawa. Itakuwa walitaka kumpeleka US.Sasa itabidi waende Germany.
Hii ban aliyopewa naona mkuu Wangu kazi itamsumbua Sana hata kwenye kupewa visa za kwenda European countries
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli hii serikali Kuna uchafu mwingi sana umejificha ni serikali ya kimafia kabisa Ila Sasa naona mwisho wao waja,ukiona mtu mzito Kama Pompeo kamuandika mtu Kama Bashite ujue Kuna kitu kiko nyuma ya pazia kibafuata na soon tutajua.Unakumbuka ile kesi ya Kabendera pale mahakamani alikuja Ambassadors wa US,UK,Ulaya wakawa wanafuatilia ile case baadae wakasepa zao,nadhani kulikua na ujumbe pale kama serikali ilikua inaangalia kwa jicho la 3.
dodge
Hela ya kuwalipa iliishaMakada wa CCM walioshindwa kazi mapema hapa jukwaani kuliko nyumbu yoyote yule ni Kawe Alumni na state agent sijui wameishia wapi... Au ilikua ID moja? Mbona wametoweka kwa wakati mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Astaghafirulilah we msichana.... khaaa!Makonda ndo maana alikuwa kimya,mpango wake wa kwenda kupandikiza mimba na kutibu mwanae matege umegoma,maana visa alinyimwa.Sasa leo ndo wametoa zuio rasmi mpaka kwa Mkewe Mary.
Hizi "likes" ulizopata naamini kabisa "umewachanganya" wana JF,na,wengi wao ni "MATAGA".Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P