Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

Hivi Mbs walimwekea zuio la kuingia USA? If not, why?

Bado ingawa hawana imani nae kwa sasa
Alipo hack cellphone ya Bezos boss wa Amazon ndio kabisa wamemuona hafai
Ila nae yupo kwenye radar
Ingawa ndio yupo kwenye line of throne wanaweza kummaliza kabla hajawa mfalme
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme

Naona visingizio vya uzalendo sasa vinaisha vyote. Tujiulize kwanini Watanzania wengi wamefurahia hili!
 
Ruge mutahaba, Yusuph manji Tundu lisu, ben sanane na wengineo wengi wakiwemo wa kutaja List feki ya wauza Unga ( blackmail) wakawatia ndani bure huku wengine wakiwapora magari yao na kuwachukulia magari yao, wamiliki wa maduka ya kubadili pesa za kigeni na wenzao ambao pesa zao cash na madini wanavikamata na kujimilikisha kienyeji wote wanalia juu ya Daud Bashite na wenzake, CIA wanajua mabaya yote
 
Does voting even matter? Baada ya kushuhudia "uchaguzi" wa serikali za mitaa kweli bado hilo ni swali?

No need to engage in the sham excercise..wangeokoa budget wajitangaze tu washindi hiyo hela tununue bombardier nyingine.
Uzuri hii ni 2020
Election Year

mtihani how many people can vote for...
And does voting even matter?.
Tusubiri tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezi ukaniambia niende google wakati nina uhakika na point nilizo ziandika na ninaamini ninacho kiamini,
Wewe ndio ungetuambia Who's USA na kama mikutano inayo fanyika ina vibali kwanini imekuwa ikizuiwa?
Yani nataka tu uelimike kwa kufahamu who is USA?!
Tafuta materials usome uongeze ufahamu kuhusu USA ndugu na mwisho umejionyesha ulivyoshupaza shingo na kudumaza akili yako eti"ninaamini ninachokiamini"

Vingine havibebeki kutokana na unachoamini ikiwepo ukweli kuhusu USA comparing our poorest country Tanzania.

Unless otherwise unajipotezea muda kuomba Mimi nikueleweshe kuhusu USA
Halafu sio uwezi ni Huwezi jifunze kuandika kiswahili fasaha
 
Naona visingizio vya uzalendo sasa vinaisha vyote. Tujiulize kwanini Watanzania wengi wamefurahia hili!
Wananchi wa hapo Dsm wanajua kuwa anapiga dili na huyo mkurugenzi wa jiji kila miradi wana 10% yao huku akishiriki kuwabambikia kesi wapinzani
 
Mtoto wake hayupo sawa. Itakuwa walitaka kumpeleka US.Sasa itabidi waende Germany.
mwambieni aje Mexico kuna chocho hilo mabaharia ndio wanatumia kutusulia boda mpaka ndichi. ila mtoto wake amwache huko huko.
 
Unakumbuka ile kesi ya Kabendera pale mahakamani alikuja Ambassadors wa US,UK,Ulaya wakawa wanafuatilia ile case baadae wakasepa zao,nadhani kulikua na ujumbe pale kama serikali ilikua inaangalia kwa jicho la 3.

dodge
Kiukweli hii serikali Kuna uchafu mwingi sana umejificha ni serikali ya kimafia kabisa Ila Sasa naona mwisho wao waja,ukiona mtu mzito Kama Pompeo kamuandika mtu Kama Bashite ujue Kuna kitu kiko nyuma ya pazia kibafuata na soon tutajua.
 
Makonda ndo maana alikuwa kimya,mpango wake wa kwenda kupandikiza mimba na kutibu mwanae matege umegoma,maana visa alinyimwa.Sasa leo ndo wametoa zuio rasmi mpaka kwa Mkewe Mary.
Astaghafirulilah we msichana.... khaaa!
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Hizi "likes" ulizopata naamini kabisa "umewachanganya" wana JF,na,wengi wao ni "MATAGA".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom