Zuio la corona virus kutoka China, Serikali izuie wachina kuingia nchini

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,663
Uginjwa huu kwa sasa unatajwa kuuwa watu watatu na tayari umeikumba Japan, Thailand na unaenea kwa kasi duniani na kuzua hofu

UK imechukua hatua tayari na huenda ulaya nzima ikachukua hadhari kujilinda huku uchina ikionekana kudanganya takwimu za wagonjwa

Tanzania kama mdau mkubwa na China na hutembelewa na wageni wengi wa kichina katika afrika tunayo haja ya kujilinda


USSR
Screenshot_20200120-221707.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The way wanavyoutangaza 'ukiwa na akili timamu utajua unasafirishwa kuelekea wapi'.

Wakoloni huko kwao wanachukua hadhali, hapa afrika porojo sana na mlengwa mkubwa ni bara la afrika huko kwao ni kama wameupitishia tu.

Tusubili tuone itakuwaje, soon.
 
Ni Mungu tu ndio analindaga taifa lake teule (Africa). Hivyo tusiwe na wasiwasi bali tumtumaini yeye.
The way wanavyoutangaza 'ukiwa na akili timamu utajua unasafirishwa kuelekea wapi'.

Wakoloni huko kwao wanachukua hadhali, hapa afrika porojo sana na mlengwa mkubwa ni bara la afrika huko kwao ni kama wameupitishia tu.

Tusubili tuone itakuwaje, soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa kujua kama serikali yetu sikivu imeshaanza mkakati wa haraka wa Kuwapima virusi vya korona watu wanaoingia hapa nchini wakitokea china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchukua tahadhari mapema ni jambo zuri sana,hope huu ugonjwa utadhibitiwa tu,
na tunamuomba Mungu awe pamoja nasi kutuokoa sisi viumbe wake wote hapa Duniani.
 
Tahadhari isiwe kumzuia mchina tuu bali mwanadamu yeyote alietoka kwenye nchi ambazo tayari kumeshatangazwa maambukizi ya ugonjwa huo.
 
Back
Top Bottom