Zuio la ajira mpya na kupandisha vyeo watumishi, Rais amekiuka

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,898
11,745
Ni juzi tu umetoka waraka unazuia ajira mpya serikalini pamoja na kuwapandisha vyeo watumishi lakini leo mh rais amemteua watumishi wapya na kuwapandisha vyeo watumishi wengine.

Je, waraka ule uliwalenga watu gani kwanini rais hakusubiri mpaka uhakika uishe ndiyo ateue watumishi wapya na kuwapandisha wengine vyeo kama waraka ule ulivyosema.
 
sio kosa lako, ndio uwezo wako wakufikili.
 
Hata huko alikuwa anahakiki kwanza, huja ona hewa kibao wameachwa? Japo wao wanaachwa kwa staha sio kama vifula mbute kama Mimi na yule
 
Ni juzi tu umetoka waraka unazuia ajira mpya serikalini pamoja na kuwapandisha vyeo watumishi lakini leo mh rais amemteua watumishi wapya na kuwapandisha vyeo watumishi wengine.
Je, waraka ule uliwalenga watu gani kwanini rais hakusubiri mpaka uhakika uishe ndiyo ateue watumishi wapya na kuwapandisha wengine vyeo kama waraka ule ulivyosema.
umetulenga walimu haswaaa elwa Dar es salaaam maana Sie ndo miaka yote vyeo hatupandi kwa wakati na mapunjo ya mishahara na likizo ni kila mwaka!!likizo ya 2013 unalipwa mwaka huu!!
 
Nadhani hawa aliowateua leo ni watumishi wa kisiasa. lakini wale wengine kama july atawapa nyongeza kwenye mishahara yao atakuwa kakiuka kanuni na sheria za utumishi wa umma...
 
Kweli kabisa Mkuu. Hawa wameteuliwa na wanaweza kuachishwa wakati wowote ni tofauti na muuguzi ama mwalimu
 
Back
Top Bottom