Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

Sasa zuchu amefka 1 mil kwa siku 2,nandy siku moja mpaka sasa laki 2 views, kmahesabu nandy kesho hawez fika 1 mil,ILA NGOMA YA NANDY KALI KULIKO YA ZUCHU
Ndivyo maisha yalivyo, Mzee wa msondo ngoma kafanya mziki miaka rudi miaka nenda mpaka anakufa hakuwai nunua gari zaidi ya lile alilopewa na Mond.
 
Mpaka sasa Zuchu anaongoza, Nandela Mfinanga hali mbaya.

Zuchu ndio malkia wa bongofleva.
 
Zuchu anabebwa na Wasafi... Nandy anapewa promotion na Clouds, Efm, East Africa radio & tv, Wasafi media, wasanii wote wakubwa leo tumeona mpaka viongozi wa serikali wanamfanyia promotion. Lakini hali bado nitete, mtoto Zuchu anamlaza na viatu leo.
Hebu muheshimu nandy wewe kilaza??!zuchu na nandy wapi na wapi?? Huyo zuchu bado ni underground kabisa anabebwa na mondi coz mondi alijitanua nje ya tz hata hizo views za youtube ni nje sio ndani tz coz ndani nandy ni hatari uliza watu wakuelekeze wewe,huyo zuchu ana miezi tu eti amshinde nandy hata kenya hawamjui huyo ukitaka majibu amwagwe na mondi uone majibu yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom