Ztto kabwe na mabilioni ya uswisi

UMUCHAMICHI

Member
Oct 20, 2012
41
13
Ndugu wana jf naomba kujua,ikitokea zzk akafukuzwa chadema kabla ya kutueleza(au kututajia majina ya hao watoloshaji) alikofikia kwenye uchunguzi wake wa mabilioni ya fedha zilizofichwa nje ya nchi,je ataweza kuendeleza hayo mapambano akiwa nje ya chadema?(chukulia mfano akatangaza kuhamia ccm).
 
Zzk kwisha habari yke, we bado una discuss huyo chali kashapoa siku mingi ana tapa tapa kama chokoraaaaaa
 
Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani, kunabainishwa na mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto Kabwe na yule mwanamke wa kijerumani aliyemtumia akaunti ya benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo Andrea kupitia barua pepe yake aco.. gmail.com anamwandikia Zitto kupitia barua pepe ya Zitto iitwayozitto.. gmail.com , Andea anasema "Hey sweet, mzigo yako imefika, can we talk?" Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo kwakusema, "I'm so sorry my darling, nimechelewa kukujibu, I will call you soon"



Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba
+255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba +4915739444853,
akimweleza kuwa anashukuru kwa mzigo kumfikia, lakini anataka kumpa utaratibu wa kuichukua hiyo pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa anaichukua kidogo kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola 20,000 hadi dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula kamisheni ya dola 25,000.


 
Kama angekuwa mtu wa kutaja ingekuwa siku
nyingi sana lakini katupiga maneno ya kale
"PWAGU na PWAGUZI" mpaka tuko hoi.
 
pamoja na Mh Dr Slaa katibu mkuu wa cdm kusitisha rasmi mijadala ya zitto lakini ngoja nichangie mara ya mwisho , hakuna cha mabilioni ya uswiss bali ushahidi unaonyesha kwamba kuna mabilioni ya ujerumani tu !
 
Zito afute hoja zake za kurusha virovyo vya watu, ahamie kwenye mambo serious kama ujenzi wa reli kwenda kigoma ya njia mbili, Ununuzi wa meli ziwa tanganyika, ujenzi wa ICT city kule uvinza, Ujenzi wa Ujiji University..... nadhani hapo tutamrudishia vyeo vyote tulivyo mnyanganya..
 
Cha kuudhi katika sakata hili,wapo ambao UTII wao upo si kwa sababu wanaamin itikadi au maono ya viongozi wao bali kwa sababu MATUMBO yao na mifuko yanawategemea watu hawa.hivyo wamekua watetezi wa kimaslai zaid,siku minofu hiyo ikikatwa watatafuta mahali pengine pa kuegememea
 
Hao m.i.j.i.nga na misukule ya dj na mwizi wa wake za watu hawana ubavu wa kumfukuza zito cdm tundu nakuusia usiwe ni mwenye kutumika kama condom jitazame ww hujatoka kaskazini iko siku watakutosa na huyo kidampa mwengne siwezi kumjibu cuz hajanifikia kielimu so nampuuza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom