Zte modems k3570-z inachakachulika

Arselona

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
642
153
Ninapoandika thread hiii ninatumia modem yangu niliyochakachua muda si mrefu.kwa sasa natumia mtandao wa airtel kuwa online.if u dont bother pm me and i will help u at my conviniency .:majani7::majani7::majani7:
 
Mkuu ahsante sana, lkn for some strange reason, siwezi kuku-pm. Naomba msaada. Modem yangu ni model K3570-z,
IMEI: 359592035473902

Natanguliza shukrani
 
Mkuu ahsante sana, lkn for some strange reason, siwezi kuku-pm. Naomba msaada. Modem yangu ni model K3570-z,
IMEI: 359592035473902

Natanguliza shukrani
nimeshishindwa kuatach file lake nipigie kwa 0784624623 au nipe email yako kikupe mautundu
 
thread za kuchakachua zime jaa sana humu tafuteni mtaona .hadi downla links na msada .
 
Msaada huo hapo kwa wote hakuna kukamuana vipesa vyetu vya ngama hapa. JF kwa manufaa ya wote!!!
 
hiyo haichakachuliwi kwa kuingiza key mkuu, unaichakachua kwa kuinstall firmware nyingine

tumia DC-Unloker na download firmware ya ZTE K3570 kisha Write Dashboard uliyodownload.

NB: Tafadhali Read Dashboard kwanza kabla ya kuWrite Dashboard, OK?

link ya DC-Unloker:
dccrap.zip - 4shared.com - online file sharing and storage - download

password for zip kama itakuuliza: hasanmh

Firmware ZTE K3570: Deposit Files

Shukrani sana mkuu...

Hivi Mkuu na hizi mpya za airtel huawei e153 inakuwa vp... Koz njia ya kawaida ya kuunlock inasumbua...

Thanks...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom