Zoom Meeting ya Askofu Gwajima na Rafiki yake CEO wa Pfizer. Tunaomba marejesho

CEO wa pfizer hawezi kuongea na mtu kama Gwajima kimajadiliano, achilia kuwa rafiki yake.
Yaani Rashid akiwa madhabahuni yake huwa anajiona ndiye anayejua kila kitu.

Sidhani ukimuwekea picha za hao anazodai kuwa ni marafiki zake anaweza hata kuwatambua.
 
Back
Top Bottom