Zoom.com wasanii?

kimaus

JF-Expert Member
May 10, 2011
565
613
Leo tar 20 sept. 2011 zoom.com wamepost tangazo la "40 temporary employees" toka NHIF na wamesema source ni Daily News la tar 20. Cha ajabu nimenunua hilo gazeti na hilo tangazo halipo! Sitaki kuamini kuwa ni conspiracy kati yao na daily news ili wauze gazeti, lkn jaman msitumie shida zetu kujinufaisha, tunaomba hizo sent za kununua magazeti!
 
Angali usije kuwa umenunua gazeti fake, siku hizi wana edit tarehe wanauza tena.
 
Jamani naomba ni watetee hawa vijana wenzetu kwa namna moja wamekosea tu tarehe si gazeti la tarehe 20/9 bali tarehe 19/9 na wao huwa wanachukuwa kazi hizo kwenye magazeti na kuzitoa kwenye blog sasa kama yeye alisoma jana na leo akaitoa kwenye blog alipaswa kutoa tarehe ya jana.
Tuwasamehe kwa hilo na tuwe wafuatiliaji wa zuri wa haya matangazo kweli mengine ni fake. Ila hili la NHIF watu 40 temporal job ni kweli kabisa Daily news ya tarehe 19/9/2011
 
kijana usikurupuke kuja hapakuandika post na kukashifu watu bila kuwa na uhakika na ukisemacho. ebu tafuta gazeti la tarehe 19 usome alafu ndipo useme ni waongo. alafu pili ile post imeandikwa hivi:

Date Listed: 20/09/2011
From: Daily News, September 19, 2011

soma post kwa makini kijana usikurupuke,
 
Zoom wapo poa huwa wanatoa kwenye magazeti wanawawekea wanafahamu kwamba wanaotafuta kazi wengi hawana hata pesa ya kununua magazeti yote.
 
kijana usikurupuke kuja hapakuandika post na kukashifu watu bila kuwa na uhakika na ukisemacho. ebu tafuta gazeti la tarehe 19 usome alafu ndipo useme ni waongo. alafu pili ile post imeandikwa hivi:

Date Listed: 20/09/2011
From: Daily News, September 19, 2011

soma post kwa makini kijana usikurupuke,
usijifanye we ndo uko makini kuliko wenzio, tangazo lilikosewa tarehe lile, ikabadilishwa baadae, siwezi kukosea tarehe mpaka ninunue gazeti. Mwana Jf m1 hapo juu ameongea sahihi kabisa. Walikosea tarehe awali, so na wewe sio unakurupuka kulaumu tu.
 
Leo tar 20 sept. 2011 zoom.com wamepost tangazo la "40 temporary employees" toka NHIF na wamesema source ni Daily News la tar 20. Cha ajabu nimenunua hilo gazeti na hilo tangazo halipo! Sitaki kuamini kuwa ni conspiracy kati yao na daily news ili wauze gazeti, lkn jaman msitumie shida zetu kujinufaisha, tunaomba hizo sent za kununua magazeti!

ni kweli ile kazi ilikosewa lakini mara ngapi unaona kazi kwenye zoom na apa naongelea zitokazo kwa magazeti ukakuta ni za kweli???kukosea tarehe kwa kazi moja ndo useme usanii?je kwa zile zote ulizokuta kweli??ambazo naamini ni zote kasoro hii moja mbayo niliibadlisha badae,mbona hujawai kusema lolote.Ni kweli sometimes usikimbilie kukurupuka kulaumu,naamini wote tupo kusaidiana na kuna watu wanatuma meseji au ata email wanaopo tatizo kabla ya kulalamika. Binadamu si wakamilifu naamini makosa yapo na kukubali kosa ndo kitu cha muhimu.Asante kwa wale wote waliolewa na wanaosupport zoom tanzania na tutaendelea kuwa pamoja.
 
thank u brother 4 clarification, n I hereby apologize to the Jf community for any sort of inconvenience that thread might have caused, n to zoom.com. They've bn doing a tremendous job to ensure that we get this invaluable info. as far as we jobseekers are concerned. 2po pa1.
 
asante kwa kuelewa ndugu yangu, shukrani kwa wote,mimi ni dada,si kaka.pamoja.
 
watanzania tuache kulaumu hata makosa madogo kwani unawalipa sh. ngapi kwa kazi wanaoifanya?
 
Washikaji Wanajitahidi Sana Kutuletea Habari Za Ajira Sio Wasanii Kabisa Tena Hata Link Wanazotoa Zinakuwa Za Kweli. Kwanza Wamekujuza Hivyo Ungefanya Uchunguzi Kuliko Kuwalaumu, Kama Unataka ela yako njoo Mbagala Mimi Nitakulipa, Lakini Tuendelee Kuwapa Moyo Kwa haya Mazuri wamayotufanyia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom