Zomeazomea kongamano la pili la katiba!

malkiory

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
270
24
Muswada wa katiba mpya uliopendekezwa na serikali na hatimaye kujadiliwa na wanaharakati, wanasiasa pamoja na wananchi katika kongamano la pili la katiba iliyoandaliwa na UDASA na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma na kurushwa hewani moja kwa moja na kituo cha televisioni ya ITV, ulinifundisha jinsi serikali yetu ilivyoshiba Ubinafsi, Ukiritimba, Unafiki, ufisadi, udikteta n.k

MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom