Zomea zomea ya Ole Sabaya mahakamani iangaliwe kwa jicho la tatu

Walalamikaji ni wachaga

Mkurugenzi muendesha mashitaka ni mchaga

Mkurugenzi mkuu wa kitengo cha kupambana na kuzuia rushwa Salm Hamdun ambaye ndiye mpelelezi wa mashitaka haya ni ukoo wa M/T wa chadema ameoa katka familia yao Mbowe

Wenye akili wamegundua kitu

Kwa hivyo Sabaya alikuwa anawatendea vibaya wachaga tu au huo mkoa wa Arusha na wilaya ya Hai wanaishi wachaga tu wafanya biashara wote ni wachaga tu hakuna kabila lingine au kutoka Nchi nyingine au Sabaya alikuwa anachagua biashara za wachaga tu

Kesi itasikilizwa Jul, 02 ,2021 tumuweke kwenye maombi tufunge kwa ajili yake maana wachaga mipango yao ni kumpoteza kabisa wanaweza kuona anashinda kesi akatumia njia nyingine kumuangamiza kumbuka hii kauli ya Mbowe" hata akishinda kesi atoke tutadili nae hapa nje"

Lakini Mungu yupo ??

#Freesabaya
Ikikuuma chomoa
 
Back
Top Bottom