Zomea zomea hii ya wagombea wa CCM inaashiria nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zomea zomea hii ya wagombea wa CCM inaashiria nini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kapotolo, Sep 29, 2010.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Baada ya Lukas Siame (Mbozi- Magharibi), Emanuel Vuhahula wa Bukombe na sasa James Lembeli wa Kahama (Kutaja ambao taarifa zao zimeripotiwa - labda wapo wengi) na Aeshi Ally wa Sumbawanga mjini wamepata wakati mgumu baada ya kuzomewa wakiwa kwenye mikutano yao ya kampeni. Tena wengine huzomewa mbele ya JK. Hii inaashiria nini?
  Kuzomea mbele ya JK labda ni kum-alert JK kwamba CCM na yeye mwenyewe hawakubaliki tena na pia wananchi wako tayari kufanya mabadiliko.
  Tuandae list ya wanaozomewa wakishinda tujue uchakachuaji umefanyika kwa kuwa mtu hawezi kuzomewa kama anakubalika.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kigwangwala nae akataliwa mbele ya JK
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tehe mkuu hiyo swafi sana hata jk mwenyewe hakubaliki basi tu watu wanahofia maisha yao
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Mimi namkataa JK mwenyewe
   
 5. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hata Salma nae hamkubali jk na ndo maana hawako bega kwa bega kwenye kampeni,kila mtu yupo kivyake na hawezi kumpigia kura sababu wenzake hawashughuliki na wamemwacha peke yake,wakati akipata watatumia wote!!!
   
 6. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ........kwenye red,ni Luhahula..!
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  nimeipenda hii
   
Loading...