Zomea Tanesco another fiesta's big hit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zomea Tanesco another fiesta's big hit

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjenda Chilo, Aug 1, 2011.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ukiacha yaliyomkuta bushoke kuna jamaa wa mbeya alikuwa na kibwagizo ...zomea tanesco watu woooooooo! Zile sauti ni balaa za kuzomea ila najua clouds hawana guts za kuiachia hewani ila in short watu walikauka sauti kwa kuzomea tanesco
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Niliona kwenye clouds tv, jamaa mwenye wimbo wa ridhione akiwa na corus 'zomea tanesco, zomea tanesco, zomea tanesco, sipati picha huko kwenye uwanja wa fiester ilikuwaje
   
 3. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  I though i was out of place baada ya kukuta uwanja wa leaders japo uko wazi lakini ulikuwa umetawaliwa na harufu kali ya bangi kila kona. but this Mbeya guy alinikonga nyoyo baada ya bila kutegemea kukuta nina nguvu za kuzomea Tanesco kama simba vile, Zomea tanesco, zomea tanesco, zomea Ja.., Zomea Nge.., Zomea Ma.., hata niliporudi na kukuta wamechukua umeme nilikuwa sina wasiwasi coz nilishawapa haki yao.
   
 4. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  It was funny
   
 5. l

  luckman JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  kwa habari zilizopo ni kwamba umeme upo kimagumashi ili bajet ipite then kama kawa kama jana!
   
 6. w

  werawera Senior Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ilikuwa tamu sana...
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,432
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kuanzisha zomea Kikwete, zomea Pinda, zomea Ngeleja, zomea Mkullo, zomea Serikali...kwa usanii wao wa miaka nenda miaka rudi
   
Loading...