Mimi kama muislamu nataka kutoa wimbo wa 'zomea Bakwata' naomba msaada wenu wa mistari wa wimbo huu.Hawa jamaa hawakubaliki na Waislamu na wanabebwa na CCM kwa maslahi yaoWamekuwa wanatoa kauli tata za kuvuruga umoja na kutugawa,na kama haitoshi sumu hii wameipeleka mikoani na wilayani kupitia mashehe wao(kumbuka maimam wote wanaoswalisha sala ya Ijumaa wanapitishwa na Bakwata).
Kwahiyo chochote kisemwacho baada ya sala ya Ijumaa ni msimamo wa Bakwata.
Kwahiyo chochote kisemwacho baada ya sala ya Ijumaa ni msimamo wa Bakwata.