Zombezi judgment

Mateso

JF-Expert Member
Aug 6, 2008
259
19
Kuna mwana Jf nilijaribu kumtumia j'ment hiyo attachment ikagoma.Nilisahau kuwasiliana na watu wa IT. Sasa nimeivunja mara tatu najaribu nikishindwa mnipe ushauri tafadhali.
 
Kuna mwana Jf nilijaribu kumtumia j'ment hiyo attachment ikagoma.Nilisahau kuwasiliana na watu wa IT. Sasa nimeivunja mara tatu najaribu nikishindwa mnipe ushauri tafadhali.

Mkuu kwani inauzito gani MB au GB ngapi?

kama ipo kwenye Word iweke kwenye pdf kama una adobe acrobat 9 Pro.

au uniruhusu nikutumie private massage (pm) ili nikupatie e-mail yako ili unitumie nami nitaiweka hapa baada ya kuiweka kwenye pdf. Hii itawezekana kama file zipo chini ya 10MB kwani e-mail hazitumi zaidi ya hapo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom