Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

Kweli pale Lowassa alipigilia msumari
Me nlikuwa naona aibu kwa watu wa nje waliokuwa wanatizama nkatamani nizime huko tcra, angalau wale walokaribishwa kusalmia kuna mmoja alimkazia JPM miaka yake ni 10 tu, mwingne akasema anaipongeza serikali ya awamu ya 3, nlifurahi kidogo kwingne nliona chenga tu.
 
Kutafuta kuonekana wanajuwa kumbe hamna kitu,vitu vingine iwe siri yao makambini huko ,binafsi nawakubali sana TISS wapo kipekee sana sijui na ubora wa viwango vya elimu na upeo wa watu wao una wabeba ,hao makomando huwa ni division zero wa form four.
Brother kwanini usiwajaribu?
 
Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.

Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.

Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
Ukweli onesho lao halikuwa na jipya ,wanajimwambafy lakini perfomance inawaumbua.
 
Soja ana division four ya 50 toka secondary ya Mwasenga kigoma unataka atoe huduma Kama Navy seal ya US au spetsnaz commando ya Russia haiwezekani.
Ule ndio mwisho wa uwezo wao jamani kulingana na training na nutrition wanazopata.
 
Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.

Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.

Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
Yaani nimesikitika sana juu ya weledi wa makomandoo wetu. Wasitufqnye sisi kajamba nani hatujui mambo yaani pale jambo walilofanya makomandoo wetu ni kushuka chini kwenye helikopta kwa kamba.

Mimi nina imani sana na jeshi letu JWTZ na mara kadhaa huwa sipendi hizi SHOW OFF za kijeshi. Huwa napenda sana kama ni jeshi kuonyesha burudani siyo mbinu zake halisi za kijeshi.
Mh. Rais tusifanye maonyesho ya kijeshi tukaonyesha nguvu halisi tulizonazo.
Kilichoonyeshwa leo ni udhaifu. Bora hata wangetumia mabrankoo tukajisikia kuna mashambulizi. Hivi yule VIP amekombolewaje? Tusionyeshe tena mbinu zetu za kijeshi kwenye sherehe kama hizi. Yaani hapo ni sawa na kumuonyesha adui yako NGUMI eti wewe unajiona ni BUNDUKI. Maadui zetu wanatusoma uwezo wetu kijeshi, kwanini tunarudi kutawaliwa kifikra namna hii.
 
TISS wanachoweza ni kuwaonea Chadema na kufuatilia makamanda mitandaoni basi. Kipi kingine wanachokiweza?
Kutafuta kuonekana wanajuwa kumbe hamna kitu,vitu vingine iwe siri yao makambini huko ,binafsi nawakubali sana TISS wapo kipekee sana sijui na ubora wa viwango vya elimu na upeo wa watu wao una wabeba ,hao makomando huwa ni division zero wa form four.
 
Kwenye sekta ya ulinzi wa viongozi kuliwahi kuwa na thread humu..... nadhani ililetwa na IDIMI ilikuwa imeshiba mambo mengi
 
Back
Top Bottom