Kuna haja ya serikali au hata sisi vijana kupeana mafunzo jinsi ya uokoaji pindi ajali ya moto inapotokea. Mara nyingi watu huitikia mwito wa kuokoa vitu kwenye ajali ya moto lakini kwa kukosa kautaalam unakuta vitu vinaburuzwa na kuharibika kabisa.
Chanzo cha moto ni hitilafu ya umeme.
Chanzo cha moto ni hitilafu ya umeme.
Majirani wakijaribu kuokoa friji ambalo jamaa alikuwa akiliburuza kinoma noma hatimaye ikawa sio tena uokoaji bali uharibifu wa mali.
Thanx DJ CHOKA.
Thanx DJ CHOKA.