Zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa kuanza Agosti 30, 2021

Hawa wasajili kwa nini hamuwaambii kuwa mnahitaji tume huru,wakifika tu muwapige kigongo kuwa tunahitaji tume huru ya Uchaguzi na sasa nidio mziki wa vyama vya upinzani ikiwemo CCM.
 
Chadema ni zaidi ya chama cha siasa. Pengine acha kifutwe tu ili tuujue ukweli.

Ina mbunge mmoja tu tena isiyemtilia maanani, lakini hapa JF mpo jeshi zima la LB7 24 7 kuvizia na kujibu viashiria vya Chadema toka kila kona ya dunia.

Kule Dodoma, haipiti muda bila kipaza sauti kutoa dondoo kuhusu Chadema. Mikutano ya CCM nayo imejaa mipasho kwa Chadema hata kwa mambo ya kufikirika. Wale 19 wameshakosa maana hata kwa chama tawala. Tayari wameshasahaulika.

hakuna aliyewahi kushindana na chadema akabaki salama tukianza na JPM
 
Back
Top Bottom