Zoezi la RC Makonda la kuchunguza na kuvamia nyumba za wananchi Dar litagharinu Bilioni 150

RC Makonda itamgharimu takriban shilingi Bilioni 120 kupeleka mapolisi kwenye kila kata mtaa na nyumba kujua tunakula nini tunalala Saa ngapi tunavaa nini na wake zetu na watoto wetu.


Sasa najiuliza mafuta ya magari ya polisi. Ovatime zao, Majaji na bila kusahau gharama za kutoa hizo inorobable search warrants ili wananchi milioni 10 wa jiji hili wachunguzwe maisha yao zitagharamiwa na bajeti ya nani na iliidhinishwa na nani na je wizara ya katiba na sheria wanakubali haya mambo ya wananchi wasio na hatia privacy zao kuvamiwa bila sababu za msingi?

Hivi gharama hizi zina we za kufanya mambo mangapi ya maendeleo? Magufuli naye anaridhia hii waste au kuna jambo lingine ambalo tunalipiwa sisi wana Dar?

Naona Meya wa Jiji hili kashamwambia Makonda aache haya mambo ya kuingilia civil liberties za wananchi bila sababu za msingi

This city is literally run by a madman out of the asylum and I wonder if we will survive this....
Mayor hajasema chochote mkuu, alikanusha kuhusika kupinga hii move
 
Lile la walimu kusafiri bure linaendeleaje,lile la machangudoa limefikia wapi,lile la mashoga maendeleo yakoje,na kwa upande ule shisha imefikia wapi tujuzeni na kandamizeni kabisa kwa kutupa ripoti ya uhakiki wa silaha.

Makonda tafuta sehemu uheme na utafute makala ya Eddo uipitie kabla siku zilizo mbaya hazijafika kwako!!
 
Makonda kama anataka kujua watu ambao hawana kazi atanganze nafasi za kazi atawajua tu asitumie nguvu
 
Back
Top Bottom