Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.

Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ila kwa sababu huko Kilimanjaro na Arusha huwa wanapinga ccm wasimwagie dawa
 
😂😂 Nakazia, hakuna kijana wa Chadema hata mmoja anajua kurusha ndege. 😂✅🔰 Chadema wanafikiria ndege ni kama yale magari yao ya M4C, haa what a waste. Na mwingine anasema eti hatuwezi fukuza nzige kwa malimao na tangaziwi, imagine🤔 hawa vijana wa Chadema, vichwa kama vibuyu, vikubwa kwa nje, ndani empty minds, zero kabisa..
Aliyeondoka ni Mtanzania wa CCM toka Kenya ina maana mlikuwa na pilot mmoja tu bila mwingine wa CCM wa kupokezana nae? MaCCM yanafikiri kunyunyizia nzige ni kazi rahisi kama kubeba mabegi meusi!
 
Dili tu za watu. Ukienda hapo Kilombero sugar ndege za kunyunyiza dawa zipo karibu kila week.
Ila kama nazo hukodiwa kutoka Kenya, basi kutakua na shida ya kimfumo.

Tuombeane maendeleo.
Ndege za dawa nyingi ukisoma tail number utakuta imeanza na 5Y maana yake imesajikiwa Kenya
 
😂😂 Nakazia, hakuna kijana wa Chadema hata mmoja anajua kurusha ndege. 😂✅🔰 Chadema wanafikiria ndege ni kama yale magari yao ya M4C, haa what a waste. Na mwingine anasema eti hatuwezi fukuza nzige kwa malimao na tangaziwi, imagine🤔 hawa vijana wa Chadema, vichwa kama vibuyu, vikubwa kwa nje, ndani empty minds, zero kabisa..
Ndege hazikodiwi waziri kaeleza kuna shirika la desert locust contro organization Tanzania ni mwanachama makao yake makuu ni ethiopia bt ndege huwa zinakaa kenya, nchi mwanachama akipata tatizo shirika linataarifiwa linatoa ndege, ruban na engenear na malipo yao yote yanafanywa na shirika, serikali inanua mafuta na sumu kazi inaendelea ruban atakuwa na ishu zake nyingine
Hilo Shirika la Desert Locust Control Organization for Eastern Africa kama kawaida lilikufa mikononi mwa Tanzania baada ya miaka miwili tu ya uongozi wa Prof Kayumbo (Musukuma) akitokea SUA. Likiwa na Makao Makuu Addis Ababa, Shirika lilifanya Kazi nzuri sana maana liliwathibiti nzige kulekule jangwani wanakozaliana kabla hawajaja kusini kwenye mashamba ya wakulima. Mkurugenzi Mkuu, wa kwanza toka Tanzania toka Shirika lianzishwe, akawa anashutumiwa kwa matumizi mabaya ya fedha kuwa safari za mara kwa mara Ulaya. Nchi wanachama wakailalamikia Tanzania juu ya tabia hiyo ya Mkurugenzi lakini badala kumkemea na kumrekabisha wanaanza kulinda na ndipo Nchi wanachama wakasitisha michango na Shirika likafa mpaka leo.
 
Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.
Zamani miaka ya 1970 n1 1980 kulikuwa na ndege za hiy kazi pale Arusha kama sijakosea kuna zingine zilipigwa mnada kwa bei ya kutupwa
 
Sawa kabisa. Hizo ndege zilikuwa za Serikali zikimilikiwa na Wizara ya Kilimo zikitumiwa na Kituo chake cha Bird Control kilichokuwa kule Arusha ambacho nacho kimekufa. Shirika la nzige lilikuwa linathibiti hao panzi, Kituo cha Bird Control kilikuwa kinathibiti ndege waharibifu na viwavi jeshi kwa hiyo Taasisi hizi mbili zilikuwa zinashirikiana sana mpaka Shirika likajenga Ofisi zake Arusha karibu na Kituo.
 
Sisi ni wabovu sana kwenye ku sustain miradi, tunachoweza ni procurement tu, tukishapata 10% tuna dump mitambo na kujipanga kuhujumu mradi tulioanzisha wenyewe kwa fedha zetu wenyewe
 
Sawa kabisa. Hizo ndege zilikuwa za Serikali zikimilikiwa na Wizara ya Kilimo zikitumiwa na Kituo chake cha Bird Control kilichokuwa kule Arusha ambacho nacho kimekufa. Shirika la nzige lilikuwa linathibiti hao panzi, Kituo cha Bird Control kilikuwa kinathibiti ndege waharibifu na viwavi jeshi kwa hiyo Taasisi hizi mbili zilikuwa zinashirikiana sana mpaka Shirika likajenga Ofisi zake Arusha karibu na Kituo.
Kilimo anga kipo mbioni kufufuliwa
 
Back
Top Bottom