Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

Kuna shirika kubwa la kimataifa la nzige lilikuwa Tabora miaka ya 90. Wanaita Red locust for East and central Africa, sijui nalo liliishia wapi.
 
Waziri tumieni drones kuokoa mazao ni teknolojia ambayo haitumii Gharama kubwa.
 
Nao wanajisikia
Hamkosi majungu rubani mlikuwa mnampeleka mpela mpela! Hela kiduchu eti mnamlaza kwenye hema.

Eti Rubani Akale kwa mama ntilie akaharisha. Tiba ajitegemee! Mwee!!

Jamani shida zenu mnatangazia wakenya??! Kisa Mmekula cha juu Mlishindwa kujua wale ni wakenya. Maisha ya juu!

Anafuatilia nini huyo muongo tu anajua alicho kifanya. Wabongo wakiona ngozi nyeusi tu wanatathmini cha juu!!!acheni hizo.
Wabongo ukifanya yao wakupe chako kwanza mbele!
 
Back
Top Bottom