Kegel exercise kwa mwanaume

Habari zenu wadau: let me go straight to the point,,, kumekuwa na malalamiko kuhusiana na nguvu za kiume, bahati mbaya watu hawaelewi tatizo hili linasababishwa na nini, kiukweli tatizo linaweza kuwa la ki psychology au physically factors, sasa leo nataka niwape mbinu ambayo itaenda kubadilisha maisha yako yakimahusiano, sasa twende kwenye methods and how to do it correctly, kwanza kabisa zoezi linaanza ukiwa umebanwa na haja ndogo, halafu unafanya kama.

Unaachia mkojo halafu ubana kidogo rudia hivi Mara kadhaa, mpaka utakapo gundua kwamba umeelewa ni upi msuli sahihi uufanyie mazoezi, baada ya hapo utakuwa unafanya zoezi hili kila siku, zoezi hili linasaidia sana kuboresha misuli ya uume, inasaidia kwa wale wanao wahi kufika kileleni, na wale wanaosumbuka kurudia tendo baada ya kumaliza bao la kwanza, ni hayo tu...
Hapa nilipo nimeshaanza zoezi nakaza naachia nakaza naachia
 
Any update?
Ngoja nikupe faida zake.
Nilifanya hili zoezi japo matokeo nilianza kuyapata baada ya wiki 3 au mwanzo wa wiki ya nne.
Matokeo yake ni kama ifuatavyo
1. Mishipa ya uume ilikomaa zaidi na nilipata very strong erections (wiki mbili matokeo)
2. Niliweza Kwa kiasi chake kulichelewesha bao kwa kubana kegel kwenye mechi
3. Bao linatoka Kwa nguvu sana na kuongezeka utamu
4. Hapa niliweza kupata dry orgasm yaani nilifika kileleni bila kumwaga bao (najua wengi mtashangaa apa ila jaribu kugoogle tofauti ya orgasm na ejaculation). Hii ilinichukua kama mwezi ivi japo hutokea mara chache na sio zote
 
Ngoja nikupe faida zake.
Nilifanya hili zoezi japo matokeo nilianza kuyapata baada ya wiki 3 au mwanzo wa wiki ya nne.
Matokeo yake ni kama ifuatavyo
1. Mishipa ya uume ilikomaa zaidi na nilipata very strong erections (wiki mbili matokeo)
2. Niliweza Kwa kiasi chake kulichelewesha bao kwa kubana kegel kwenye mechi
3. Bao linatoka Kwa nguvu sana na kuongezeka utamu
4. Hapa niliweza kupata dry orgasm yaani nilifika kileleni bila kumwaga bao (najua wengi mtashangaa apa ila jaribu kugoogle tofauti ya orgasm na ejaculation). Hii ilinichukua kama mwezi ivi japo hutokea mara chache na sio zote
Safii
 

Namna Ya Kufanya Mazoezi ya Kegel​



Mazoezi haya hufanywa kwa namna nyingi na mara nyingine yakiambatana na vifaa maalumu. Hapa naelezea mazoezi rahisi yenye lengo kuu la kukusaidia kuimarisha misuli yako usitokwe na mkojo ovyo na uweze kuongeza muda wako wa kufika kileleni.

Ukiwa umesimama au umekaa, legeza viungo vyako vyote vya mwili, usikaze makalio wala misuli yako ya miguu au ya tumbo. Kaza misuli yako ya uvungu wa sehemu nyeti kama vile unazuia mkojo usitoke. Ukiwa bado umeikaza misuli hiyo, hesabu sekunde 3 hadi tano kisha ilegeze (ukiweza kuhesabu sekunde zaidi ni vizuri zaidi). Fuata ratiba uliyopewa hapa chini kuendelea na mazoezi yako. Tazama video hapa chini kwa mfano wa kufanya mazoezi haya:



Wiki 1 mikazo 30 kwa siku

Wiki 2 mikazo 30 kwa siku – mara mbili kwa siku

Wiki 3 mikazo 45 kwa siku – mara mbili kwa siku

Wiki 4 mikazo 60 kwa siku – mara mbili kwa siku

Wiki 5 mikazo 75 kwa siku – mara mbili kwa siku

Wiki 6 mikazo 90 kwa siku – mara mbili kwa siku

Wiki 7 mikazo 90 kwa siku – mara mbili kwa siku ongeza mikazo 30

Wiki 8 mikazo 90 kwa siku – mara mbili kwa siku ongeza mikazo 45

Wiki 9 mikazo 90 kwa siku – mara mbili kwa siku ongeza mikazo 60

Wiki 10 mikazo 90 kwa siku – mara mbili kwa siku ongeza mikazo 75

Wiki 10 mikazo 90 kwa siku – mara tatu kwa siku
 
KEGEL EXERCISE,,,, ni rahisi tuu we fanya kubana makalio (mkuu.... nduu) , faida yake kubwa ni zoezi linaloimarisha misuli ya uume, uume unakuwa wenye nguvu na unatoka hadi mishipa mishipa.

asubuhi kila unavoamka bana makalio:(tumia nguvu) mara ishirini baada ya kufanya mazoezi mengine
 
Back
Top Bottom