Zitto Zuberi Kabwe soma huu waraka ukusaidie kutekeleza azimio lako la hoja binafsi

Jamani jamani,hili sula si rahisi kama tunavyodhani ni vile sisi tupo nje ya bunge!!! La kufanya hapa mtoto wa mkulima akubali tu yaishie,yy mweneywe tu amshe mdogo mdogo aende zake maaana jaramba la dogo zitto ni zito si kidogo
 
WM Pinda atusaidie kwa kujiuzulu yeye mwenyewe bila kusubiri hii petition ya Zitto kwani hata moja ya wizara zinazolalamikiwa sana, TAMISEMI, iko chini ya ofisi yake. Yeye ndie mwenye dhamana na wizara. Lowasa aliweza mwaka 2008. Pinda anashindwa nini wakati yanayofanyika kwenye wizara hii ni zaidi ya yale yaliyofanyika Richmond?
 
Mh Zitto ni kweli kwa wazo lako wengi wa raia wema wa nchi yetu wanakuunga mkono. Hata hao wabunge wa CCM pia wanapenda iwe hivyo lakini ni woga tu ndio unawasumbua.
Sisi tumeamua kujitolea kuwashawisi wabunge wetu ili waweze kutia hizo sahihi ili upate kuwasilisha hoja binafsi. Ni kweli kama hutopata sahihi za wabunge wetu basi watakuwa wametusaliti kwa kiwango cha juu sana.
Hapo tunakuomba utusaidie ili na sisi kazi yetu iwe rahisi kuwatia adabu kwa usaliti wao. Baada ya kupata hizo sahihi tutakuomba utupe orodha ya wale walioweza kukupatia sahihi zao ili tuwajue wasaliti ni akina nani.
Unajua kwa jinsi wabunge walivyokuwa wakiongea kwa uchungu kiasi kile nitashangaa sana kama watashindwa kutumia nafasi hii kuiwajibisha serikali yao.
Haiwezekani kabisa eti uchangie kwa kupinga uozo wa serikali yako halafu unashindwa kuiwajibisha. Hapa Mh Zitto tunakuomba utuwekee orodha ya wote watakao saini.
Kushindwa kutupa hiyo orodha ni kutusaliti sisi wananchi wa Tanzania. Kwa kitendo hicho na wewe pia tutakuchukulia pia ni msaliti na mfitini wa taifa letu. Mimi naamini huwezi kutusaliti sisis watanzania wenzako.

Mungu akubariki na akulinde na wale wote wanaotaka kukufanyia ubaya!

Ndugu,

Nayaunga mkono mawazo yako kwa zaidi ya asilimia 60.

Sahihi: Sentensi hii iko sahihi kabisa. Ulichosema ni sahihi ....!
Saini: Zinahitajika saini 70 tu za wabunge. Tafadhali naomba uniwekee saini yako hapa
 
Saa ya ukombozi imewadia, tunaomba wabunge watimize hili la kuweka sahihi na wazo za kuwasilisha hoja binafsi kufanikiwa. kila jambo lina mwisho wake, watanzania wanateseka kwa maisha magumu kutokana na mfumuko wa bei, kodi kubwa, lakini viongozi wetu serikalini hawalioni hili kila kukicha ni ufisadi kila kona, Tanzania imekuwa shamba la bibi. swala la uwajibikaji ndo nguzo ya utendaji bora mahala popote duniani, MUNGU bariki mabadiriko haya
 
Mh Zitto ni kweli kwa wazo lako wengi wa raia wema wa nchi yetu wanakuunga mkono. Hata hao wabunge wa CCM pia wanapenda iwe hivyo lakini ni woga tu ndio unawasumbua.
Sisi tumeamua kujitolea kuwashawisi wabunge wetu ili waweze kutia hizo sahihi ili upate kuwasilisha hoja binafsi. Ni kweli kama hutopata sahihi za wabunge wetu basi watakuwa wametusaliti kwa kiwango cha juu sana.
Hapo tunakuomba utusaidie ili na sisi kazi yetu iwe rahisi kuwatia adabu kwa usaliti wao. Baada ya kupata hizo sahihi tutakuomba utupe orodha ya wale walioweza kukupatia sahihi zao ili tuwajue wasaliti ni akina nani.
Unajua kwa jinsi wabunge walivyokuwa wakiongea kwa uchungu kiasi kile nitashangaa sana kama watashindwa kutumia nafasi hii kuiwajibisha serikali yao.
Haiwezekani kabisa eti uchangie kwa kupinga uozo wa serikali yako halafu unashindwa kuiwajibisha. Hapa Mh Zitto tunakuomba utuwekee orodha ya wote watakao saini.
Kushindwa kutupa hiyo orodha ni kutusaliti sisi wananchi wa Tanzania. Kwa kitendo hicho na wewe pia tutakuchukulia pia ni msaliti na mfitini wa taifa letu. Mimi naamini huwezi kutusaliti sisis watanzania wenzako.

Mungu akubariki na akulinde na wale wote wanaotaka kukufanyia ubaya!

Ndugu,

Nayaunga mkono mawazo yako kwa zaidi ya asilimia 60.

Sahihi: Sentensi hii iko sahihi kabisa. Ulichosema ni sahihi ....!
Saini: Zinahitajika saini 70 tu za wabunge. Tafadhali naomba uniwekee saini yako hapa
 
Mkuu Jogi, tunahitaji pia kuona sahihi ya Salome D. Mwambu, mbunge wangu wa Iramba mashariki otherwise naandaa mkutano mkubwa jimboni na kumshitaki kwa umma.
Komaa Mkuu wabunge wengine wapo tuu bungeni hawafanyi lolote, hawana faida yoyote kwa wananchi, nakuunga mkono mia kwa mia!!!!!

Hamna kitu hapo,mimi nimekushtukia wewe.hii ni mbinu ya magamba ili kuwatisha wabunge wa ccm wenye nia ya kutia sahihi ili waogope na kubadili uamuzi kwa kuhofia kutambulika na kuchukuliwa hatua kichama.,
Najua kwamba anapotia sahihi tayari hakuna kificho ila hii ni kama kitisho ili waweze kubadili maamuzi au kusita na watakapoamua basi iwe ni too late.

Acha porojo zko wewe mwana magamba! Kama kuna mbuge anayesoma alama za nyakati basi hataogopa kutia sahihi na oradha yao kuletwa kwenye public. Wananchi ndiyo tunawachagua kutuwakilisha na siyo kuwakilisha chama, SASA BASI WALE WATAKAO TIA SAHIHI NA KUFUKUZWA CCM, BASI MILANGO IPO WAZI KWENYE VYAMA VINGINE WENYE WAPIGANAJI WA KWELI, NA HAO NDIYO CDM TUNAWATAKA. CCM wakiwafukuza sisi wananchi tutawarudisha bungeni, kuna uwoga gani hapo? Nani zaidi kati ya CCM na wananchi wapiga kura? KAJINGE UPYA HOJA ZAKO HAZINA MASHIKO
 
Zitto ana wazo zuri ila kamwe hatapata sahihi za wabunge wa magamba. Hatafanikiwa

Wabunge wote wa CUF na CDM wakitia saini idadi itapita saini 70 zinazotakiwa. Shida hapo ni unafiki wa CUF tu, hata kama baadhi ya wabunge wa CUF watakubali, ukiongeza za NCCR idadi ya saini 70 itafikiwa.
Kwangu sijali matokeo ya kura bungeni yatakuwaje maana najua wabunge wa CCM watatumia wingi wao kupinga pendekezo la Zitto na hapo tutawaweka kwenye mizani ya 2015!
 
kaz inapendeza wakuu
uozo had lin! tumechoka tumuunge mkono ZITO NA WENGINE WENYE KUITAKIA MEMA TANZANIA.....
 
Good news nikwamba wabunge wa CUF na CDM wote wanasaini hivi sasa. Ifikapo saa tano tutakuwa na sahihi zote 70 zinazotakiwa. Kuna wabunge 10 CCM, inabidi tuongeze nguvu kuwashawishi jumatatu wapige kula ya kutokuwa na imani hapo tutahitaji nusu ya wabunge wote.
 
Mimi natokea mleba kusini na mkewangu kaskazini kwa mh.mwijage nami kwa prof.tunaomba orodha ya watakao saini ili tuonekamaniwasaliti au la.MH.ZITTO FANYAHIVYO TAFADHARI
 
tusubiri maana hili lawezekana kwa wabunge wenye uchu na huruma na nchi yetu nje ya hapo hawawezi kusaini
 
Acha porojo zko wewe mwana magamba! Kama kuna mbuge anayesoma alama za nyakati basi hataogopa kutia sahihi na oradha yao kuletwa kwenye public. Wananchi ndiyo tunawachagua kutuwakilisha na siyo kuwakilisha chama, SASA BASI WALE WATAKAO TIA SAHIHI NA KUFUKUZWA CCM, BASI MILANGO IPO WAZI KWENYE VYAMA VINGINE WENYE WAPIGANAJI WA KWELI, NA HAO NDIYO CDM TUNAWATAKA. CCM wakiwafukuza sisi wananchi tutawarudisha bungeni, kuna uwoga gani hapo? Nani zaidi kati ya CCM na wananchi wapiga kura? KAJINGE UPYA HOJA ZAKO HAZINA MASHIKO
Tatizo hapa si umagamba au CDM na wewe huelewi mimi nimesema hivyo kama mfuasi wa chama au mwana JF,ninaelewa siasa za nchi hii kwa kina kuliko wewe mchezea laptop,soma identification yangu na utaelewa nini maana ya COMMONMWANANCHI,

Niliandika maoni yangu jana usiku na sikumjibu mtu yeyote humu ,ingawa wengi walinijibu.lengo langu ilikuwa ni kusubiri muone kitakachojili ndani ya CCmagamba.lakini kilichotokea ni kilekile kwamba CCmagamba waliwaita wabunge wao kwa kumtumia mnadhimu wao Bw Lukuvi,na wakapewa onyo kama kitisho ili wasimpe ushirikiano kwa mh Zitto.nafikiri hawa wabunge kumi waliokuwa wameahidi kumuunga mkono mh Zitto nao wameogopa.

Sasa usiwe unadandia tu kumjibu mtu bila kutafakari,na kwa Taarifa yako sio lazima umtukane mtu ili kuonekana wewe ni CDM la hasha,tuko wengi tunaofanya kazi za CDM kwa kiwango kikubwa bila kutaka sifa wala kutukana watu ovyo mitandaoni kama baadhi mnavyotaka kuharibu taswira ya chama mbele ya jamii.
Wale tunaoishi nao katika maeneo yetu mitaani wanatuheshimu na kuthamini michango yetu kama wana CDM halisi na baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali wa CDM pia wanatuelewa na tunawaungha mkono wasiwe na wasiwasi.

Elewa kwamba ule munkari unaouna kwa wabunge wa CCmagamba sio kwa ajili ya dhamira ya ukweli ndani yao kwa yale wayasemayo,ni kwamba wameona jahazi la chama chao linaelekea kuzama na wao wakiwa ndani yake,wamegundua kwamba dereva wa gari wealillopanda amelewa chakari,wamegundua kondakta wa gari walilopanda anawapunja nauli na harudishi chenji,wamegundua turn boy wa gari waliyomo hana uwezo wa kuziba pancha kutokana na uchakavu wa matairi.

Wanaona kabisa gari hili lina matatizo ya ukosefu wa vipuri aina ya uadilifu,ukweli na uwazi.wamegundua gear box ya gari hilo inavuma mlio wa ufisadi na linaelekea kupata ajali mbaya kama ya lile gari la kenya lililojulikana kama KANU likiendeshwa na Dereva maarufu Daniel arap moi..

Hakika sasa wabunge wa CCmagamba wanataka kuwatega wapiga kura wao ili kama upepo ukibadilika basi wawe na gari lingine la kudandia.wameshtushwa na kishindo cha uhamisho wa Ole millya na wengineo wanaoendeleoendelea kuhama.wanogopa kuona mtu kama Ole sendeka akikalia kuti kavu kule simanjiro.
,
*Unaweza kunua cheo lakini huwezi kununua heshima.*
 
Back
Top Bottom