Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Unajua ulichokiandika au unalopoka? Reli inakuja kwa ajili ya biashara au kwa ajili ya nini au zile pangaboi zimenunuliwa kwa ajili ya mtanzania kwa mawazo yako auStupid Politician!
Kwani tunajenga Reli kwa sababu ya nchi nyingine au tunajenga Reli kwa sababu yetu kwanza? Kama ingekuwa ni hivyo basi Wakoloni wangejenga Reli kuuelekea Rhodesia kwanza au Kongo lkn hawakufanya hivyo hata Reli ya Tanga ilijengwa kuelekea Moshi na Arusha na lengo lilikuwa mpka Musoma ili kuhudumia Mikoa hiyo na vile vile Reli ya kati ilijengwa ktk Dar-TBR-KGM/MZ ili kufungua Mikoa ya huko hilo ndiyo lilikuwa lengo la kwanza na siyo kwa ajili ya Wageni!
Kwa nini Mzungu alijenga Reli kutoka Bandari ya Mtwara kwenda Nachingwea? Au kwa nini Mtwara corridor ambayo ilibuniwa na Mjerumani ilikuwa inaunganisha Eneo la Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara?
Kwa hiyo kama huyo kilaza anataka tujenge Reli kwa ajili ya Kongo au Zambia kesho Zambia wakijenga Reli kuunganisha na Msumbiji na Kongo kuunganisha na Angola, Reli yatu tuibomoe?
Unajua ulichokiandika au unalopoka? Reli inakuja kwa ajili ya biashara au kwa ajili ya nini au zile pangaboi zimenunuliwa kwa ajili ya mtanzania kwa mawazo yako au
Yaani anaona mizigo ni ya kwenda zambia na kongo tu? Mizigo ya mikoa ya kati magharibi na kanda ya ziwa? Pia rwanda burundi na uganda?
***Stupid Politician!
Kwani tunajenga Reli kwa sababu ya nchi nyingine au tunajenga Reli kwa sababu yetu kwanza? Kama ingekuwa ni hivyo basi Wakoloni wangejenga Reli kuuelekea Rhodesia kwanza au Kongo lkn hawakufanya hivyo hata Reli ya Tanga ilijengwa kuelekea Moshi na Arusha na lengo lilikuwa mpka Musoma ili kuhudumia Mikoa hiyo na vile vile Reli ya kati ilijengwa ktk Dar-TBR-KGM/MZ ili kufungua Mikoa ya huko hilo ndiyo lilikuwa lengo la kwanza na siyo kwa ajili ya Wageni!
Kwa nini Mzungu alijenga Reli kutoka Bandari ya Mtwara kwenda Nachingwea? Au kwa nini Mtwara corridor ambayo ilibuniwa na Mjerumani ilikuwa inaunganisha Eneo la Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara? Kwa hiyo kwa mujibu wa huyo kilaza Zito Mtwara corridor haina maana yoyote kwa sababu haiunganishi na Wageni?
Kwa hiyo kama huyo kilaza anataka tujenge Reli kwa ajili ya Kongo au Zambia kesho Zambia wakijenga Reli kuunganisha na Msumbiji na Kongo kuunganisha na Angola, Reli yetu tuibomoe?
Nachukia stupid people, hasa wanapojinasibu kuwa wajuaji wakati kiuhalisia hakuna kitu wanajua!
***
A dumb [HASHTAG]#barbarosa[/HASHTAG] / mradi mkubwa kama ujenzi wa reli huwa ni lazima uwe na proper FUTURE...!/
Ukikoswa point sio lazima uongee...zitto hajui anachokitaka.