Zitto Z. Kabwe hapigi kelele tu bali vitendo vyake vinaonekana

MUGOLOZI

Member
Jun 22, 2011
28
7
1318262715.jpg

Last week Hon. Zitto Z. Kabwe attended four meetings in Kigoma in my capacity (and as part of his job) as MP of Kigoma Kaskazini, at the Constituency Development Fund Committee, District Council, Road Board and Regional Consultative (RCC).

In all of these meetings participants are ‘entitled’ to receive posho (sitting allowance).

On his blog, Zitto says,

This is how to say NO to posho and stand by it:

In keeping with my stand I said NO to the posho. However, I signed for it and took it - in order then to go round the technicality of returning back the posho to the Government to show that my statement is not just rhetoric but action.

Above photo illustrates the receipt showing the payment I made back to the Government for the Road Board meeting. Let’s cut down on unnecessary expenditure and direct this money to our development budget to spur development and growth.

source: Zitto Kabwe walking the talk, "Say NO to Posho" - Wavuti

Ndugu wanaJF mnaonaje hali kama hii inayojidhihirisha kwa viongozi wetu kama hawa. Yaani si kwa maneno tu bali hata kwa vitendo, mh. Zitto nakupongeza sana endelea kupigania maendeleo ya nchi yetu bila kujali watu wanaobeza jitihada zenu.
 
thubutu magamba wengine siku zitto akiwa rais ndo tz itaibuka na tuzo ya mo ibrahim
 
Baada ya kuchukua posho na marupurupu kwa awamu ya kwanza ya ubunge wake na kuwekeza vya kutosha si vibaya kutafuta popularity kwa style hiyo ya kurudi kwa masikini kama alivyokua yeye kabla hajawa mbunge. Thats politics. Very dirty game
 
Wewe kama ni gamba useme. Yaani unaona ni vema kuendelea viongozi kulipana posho wakati wakitekeleza majukumu ya kiofisi??
 
Baada ya kuchukua posho na marupurupu kwa awamu ya kwanza ya ubunge wake na kuwekeza vya kutosha si vibaya kutafuta popularity kwa style hiyo ya kurudi kwa masikini kama alivyokua yeye kabla hajawa mbunge. Thats politics. Very dirty game

Hivi wewe unafikiria kwa kutumia ubongo au mdomo???
 
Big up Zitto sijui magamba wanaweza kufanya hivi?
Kama wakiacha kupokea Posho, Magamba unadhani watapata wapi hela za kulipia madeni walizokopa kuhonga kwenye uchaguzi Mkuu wa 2010! Unataka wafungwe kwa madeni au familia zao zife njaa! Hili ndilo tatizo la Uongozi wa kununua kwa pesa ndilo linalowasumbua Magamba. Ze Magamba are very stategic!
 
huyu jamaa anafanya technical politics.Anasoma alama za nyakati,anajua wakati wa kumpiga adui na anajua kulinda goli lake lisishambuliwe.Yupo cdm mara hayupo vile.Sometime yupo na gamba moja kama JK au RA.ananikumbusha wave particle duality na uncertanity principle kwa wale mliowahi kunoa bongo zenu kwenye A-Level chemistry.Hatari kwelikweli
 
Mbona mbowe anapokea posho wakati alimuita shibuda mnafiki wabunge wa chadema acheni unafki.zitto endelea kua na msimamo wako huu huu na shibuda endelea kutokua mnafiki hata kama makuadi watakulahumu lakini ukweli watu wameupata kumbe agenda ya posho ilikua ni ya zitto na sio chama
 
We inaonekana wazi kuwa ni magamba maana ndo hamjui kufikiria. Yaani huoni kuwa huu ni uzalendo wa hali ya juu?. Umeona mTanzania gani ambaye amewahi kuridhika na kusema sitaki hela?. Utasemaje Zitto kafanya hivyo baada ya kuvuna posho awamu ya kwanza na huku kuna wabunge wamekaa awamu nne na kushika vyeo vya juu vyenye hela nyingi kama mawaziri na hawajawahi kusema posho zirudi kwa wananchi. Ndugu fikiria kabla ya kuchangia unatia aibuuuuu.
 
Mbona mbowe anapokea posho wakati alimuita shibuda mnafiki wabunge wa chadema acheni unafki.zitto endelea kua na msimamo wako huu huu na shibuda endelea kutokua mnafiki hata kama makuadi watakulahumu lakini ukweli watu wameupata kumbe agenda ya posho ilikua ni ya zitto na sio chama
 
Mbona mbowe anapokea posho wakati alimuita shibuda mnafiki wabunge wa chadema acheni unafki.zitto endelea kua na msimamo wako huu huu na shibuda endelea kutokua mnafiki hata kama makuadi watakulahumu lakini ukweli watu wameupata kumbe agenda ya posho ilikua ni ya zitto na sio chama
 
Mbona mbowe anapokea posho wakati alimuita shibuda mnafiki wabunge wa chadema acheni unafki.zitto endelea kua na msimamo wako huu huu na shibuda endelea kutokua mnafiki hata kama makuadi watakulahumu lakini ukweli watu wameupata kumbe agenda ya posho ilikua ni ya zitto na sio chama
 
subuutu naona wakiziona hata hizo risiti mate yanawachuruzika.ona sasa wanauana kwa ajili ya pesa (richmond)

mate yananichuruzika kwa fedha alizo nunulia hummer na kujaza mafuta kila siku angeweka risti hapa ungejua kweli kuna kitu behind
kinanifanya mate yachuruzike
 
Back
Top Bottom