#COVID19 Zitto: Waziri wa Afya afukuzwe kazi sababu haaminiki na aliongoza kampeni ya watu kunywa sumu

Haya yote kayataka rais ssh tulikua tushayasahau na maisha yalikua fresh tu.
Naogopa sana kumuudhi Mungu aliyekua anatulinda
 
Zito alete takwimu zake, alizofanya utafiti sio kupiga makelele. Yeye na waziri wa afya nani mwenye haki yakutoa takwimu za uviko-19
 
... unajua umekalia moto na ukaendelea kuukalia sijui tukueleweje!
Ndio maana alikuwa anatoa barafu kupunguza makali, ila wale viongozi waliozani mwendazake ataishi milele sijui waliwaza nini
 
Tatizo la Zitto ni kujifanya anajua kila kitu Tanzania aipimi COVID ndani ya nchi. Na COVID sio ugonjwa hatari ivyo for under 50 hadi uende hospitali ni baadhi ya ile risk age groups (over 50 ndio wakipata wanakuwa hospitalised).

Sasa it’s possible kabisa kwa sasa kuna watu 400 na ushee waliojitokeza (mostly ni ile age group au wenye magonjwa yanayopunguza kinga ya mwili) na kati yao 69% ndio wenye kutumia mitungi. Ni takwamu ndogo sana ya wagonjwa kusema nchi ina tatizo la COVID.

Nchi za ulaya nyingi washapiga dose mbili watu wote over 50 na karibia over 40 wote washapigwa dose moja au mbili ya vaccine; baada ya kumaliza hayo makundi ndio sasa wanafungulia nchi aina maana COVID imeisha kabisa.

Kwa U.K. nadhani week hii pekee kuna watu zaidi ya 30000 na number inaweza kuwa kubwa maana wengine awapimi wameambukizwa lakini usikii kelele tena kwa sababu wanaopata ni vijana na wengi (under 40) wanajitibia wenyewe majumbani wakishapomwa; wazee wanaopata na kwenda hospitali ni wale waliokuwa wakaidi awakwenda kupigwa chanjo na idadi yao ni ndogo sana na vifo pia ni vidogo sana.

Sasa kwa nchi kama Tanzania ambayo aikuwa na lockdown, COVID itakuwa tatizo kweli leo watu wengi wameshapata COVID sema aikuwa na madhara; na bado ipo lakini sio kama serikali inavyoikuza leo.
 
Kiukweli hili tatizo halihitaji waziri mwenye ndimi mbili, waziri huyuhuyu aliwadanganya watu na sasa anakuja vingine, back Ummy Mwalimu, aliitumikia nafasi yake vilivyo

Kabisa, huyo waziri alikuwa muongo huko nyuma, na sasa anaongea uongo ule ule kwa approach tofauti.
 
Anaandika Mh Zitto Kabwe:

69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?

1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.

2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.

3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI

Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.

Tuendelee kujilinda
Naunga mkono hoja
 
Njaaaa taabu sana...Zitto mnashida gani ninyi wanasiasa kma wewe? Acheni wataalamu wafanye kazi. Zitto stop stop! Hapo ulipo hujui chochote kuhusu hata habari za traditional medicine......
 
Zito alete takwimu zake, alizofanya utafiti sio kupiga makelele. Yeye na waziri wa afya nani mwenye haki yakutoa takwimu za uviko-19
Sio kazi ya Zitto kutoa takwimu. Ila zinapotolewa takwimu na mamlaka husika na kwa uelewa wake akaona zina kasoro (fake), ana haki na wajibu wa kutujulisha. Zitto ni kiongozi anayeheshimika ktk jamii, na kama unaona amekengeuka, au unaona waziri yuko sahihi tupe ushahidi utakuwa umesaidia.
 
Wataalam wa kupiga nyungu?
 
Anaandika Mh Zitto Kabwe:

69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?

1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.

2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.

3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI

Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.

Tuendelee kujilinda
 
Hivi kati ya nyungu na hizo wanazoita chanjo sumu ni ipi? ni wapi imeripotiwa kwamba watu wamepata madhara kwa kunywa nyungu ambayo inatengenezwa kwa kutumia ingredients ambazo ni viungo vinavyotumiwa kwenye vyakula vya binadamu? Zitto anayo elimu ya kutosha kuhusu madhara ambayo yameshasababishwa na hizo chanjo zilizo kwenye utafiti vikiwemo vifo? kweli nimeamini akili ya muha ipo limited sana.......miaka yote muha huwa anaamini operator wa treni siyo binadamu bali ni aina fulani ya chuma...
 
Kumbe mtu unaweza kunywa sumu na usife aiseee

Yes. Tafsiri sahihi kwa kiingereza hizo ni “toxins” sio “poisons”. Zinakuwa kwenye madawa au vyakula. Zinadhuru cells za mwili na kusababisha kuumwa. Zinaweza hata kupelekea kifo. Kiswahili tunatumia neno “sumu” ambalo ni la ujumla.
 
Back
Top Bottom