mkuu suala ni unafiki wa zitto, unasemaje ni mwanachama mtiifu wa chama, huku unajipandisha mwenyewe kuliko chama? Mbona unalikwepa hili? Je mwanachama mtiifu ni kushangilia mabango yanayokidhalilisha chama? Ukweli utabaki zitto haaminiki na haeleweki!Ungeenda Kutengeneza wewe ilo bango la Chama
Inampandisha kwa MACCM na si kwa CHADEMA anaonekana ni mnafiki tu anayebwabwaja bila mpango. Kama inampandisha kwanini MACCM msimchukue!? Mbona hamumkaribishi kwenye chama chenu na wakati mnamuona ni maarufu kuliko CHADEMA!? Mbona rafiki yake Kafulila kule NCCR hamkaribishi ili akaongeze nguvu ya chama!? Acheni kukurupuka bila kutafakari kwa kina.
mkuu ndo maana sisi wengine tunaona kabisa kuna unafiki na undumila kuwili hapa!Siku zote alikuwa wapi?!
Je, Zitto ana tatizo na kamati kuu? Maana yale matusi aliyoyaporomosha pale ujiji kwa kamati kuu ni dhahiri ana tatizo either na Mbowe ama Kamati kuu, ama Dr
mkuu suala ni unafiki wa zitto, unasemaje ni mwanachama mtiifu wa chama, huku unajipandisha mwenyewe kuliko chama? Mbona unalikwepa hili? Je mwanachama mtiifu ni kushangilia mabango yanayokidhalilisha chama? Ukweli utabaki zitto haaminiki na haeleweki!
Naungana nawe Mkuu jamaa amekuwa kama gari bovu linaenda bila ya kuwa na dreva. Naona hakutegemea kabisa kama CHADEMA wanaweza kumvua madaraka.
Hana nguvu yoyote ile amechanganyikiwa tu anabwabwaja bila mpango.
Inampandisha kwa MACCM na si kwa CHADEMA anaonekana ni mnafiki tu anayebwabwaja bila mpango. Kama inampandisha kwanini MACCM msimchukue!? Mbona hamumkaribishi kwenye chama chenu na wakati mnamuona ni maarufu kuliko CHADEMA!? Mbona rafiki yake Kafulila kule NCCR hamkaribishi ili akaongeze nguvu ya chama!? Acheni kukurupuka bila kutafakari kwa kina.
Wakuu mimi naona tufanye tufanyavyo slaa ameingia kwenye mtego wa kumchokoza zitto hawezi kukwepa kumkabili lakini kibaya zaidi dr slaa siyo saizi ya zitto zitto ni mwanasiasa wa ngazi ya juu sana kama akiamua kumjibu slaa hata wiki haiwezi kuisha slaa atakuwa hayupo kwenye siasa.

Zitto Kabwe
Tatizo la baadhi yetu ni kuishi maisha ya uongo na fitna. Sina tatizo na Dr Slaa. Ni Katibu Mkuu wa chama na amefanya mengi mazuri kufikisha chama hapa.
Sasa hivi watu wanajitahidi sana kuchochea kwa kugeuza maneno ionekane kwamba nina tatizo na Katibu Mkuu wangu. Ziara yangu Kigoma haikuwa 'kumjibu Dr Slaa' kama inavyosemwa. Sina cha kumjibu Katibu Mkuu wangu.
Ninalo jukumu kama mwanachadema kutoa maelezo kuhusu tuhuma dhidi yangu na pia kuongea na wananchi kuhusu matatizo ya nchi yetu. Hayo sio majibu kwa Dr Slaa kwa sababu ni uonevu kusema Dr Slaa ni Kamati Kuu.
Mimi nitaendelea kutumikia wananchi wa Kigoma na watanzania wote kama mwanachadema na Mbunge. Anayesema naidhoofisha Chadema ni muongo na apuuzwe.
My concern
Pro Zitto, team Zitto wameona facebook yoote ila hii wamejidai hawajaiona.
BAK ukilala ukiamka, ukienda chooni, ukiwa na shemeji yetu unawaza zitto
zitto amekuteka ufahamu, chuki zimekuponza na kwa sababu umeziweka wazi na umesomeka humu. Utaendelea kuishi kwa presha na majungu mpaka vikutafune
Zitto anajisimamia, bahati mbaya waka hakujui kuwa kuna mtu anaitwa BAK ambaye anamchukia yeye vibaya mno.............halijui hilo
uko kifungoni wewe na unaumia wewe zaidi kuliko yeye
zitto amekutawala bila ya wewe kujua
GROW UP, HATRED DOESNT PAY
Binadamu tumeumbwa kuwa na mawazo tofauti, ndani ya cdm wamo watu wanmkubali ZZK na wengine wana mpinga, vilevile wapo wanao mkubali Dk Slaa na pia wapo wanapinga Slaa.Sasa kama kuwa na mawazo tofauti ndani ya CDM ni uhani basi cdm ....., ni ngumu sana kumlazimisha mwadamu aishi,aamini kwa mtazamo wa mtu mwengine na mtu kama huyo anakuwa hayuko huru, yaani mawazo ya Mbowe ndio yawe mazo ya CDM wooote,Mawazo ya Slaa ndio yawe mawazo ya CDM woooote, huo ni utumwa na udikteta ambao Msomi yoyote hataukubali labda mtu awe hakwenda shule ndio anaweza kuishi katika mazingira hayo
Possibly when comes to politics Zitto do better compared to Slaa.