Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

Shenzi zake huyu ---- anatakiwa awe jela kwa kosa la wizi utakatishaji wa pesa,dalali wa wezi,muongo,domo chafu ana kazi ya kutukana watanzania
 
lisu ana sema katika makaratasi yote 40 makaratasi 2 tu ndo yana sema ukweli mengine yote ni uwongo ulio tukuka jamani sawa epa walikula na hili nalo wanekula li ishie apa tena. yetu macho.
 
Nimewahi kusoma na vijana wengi kutoka Kigoma wakati nikiwa sekondari, na pia Chuoni. Nilichokuja kugundua wachache wanatabia ya usaliti wakiweka mbele masilahi binafsi. Wako ladhi kumsaliti yeyote na kuvujisha siri za ndani kabisa ili mradi tu waweze kufikia malengo yao.

Kulikuwa na katibu mkuu wa Chadema - Dr Walid Amani Kaborou, huyu usaliti wake kwa upinzani kila mmoja anauelewa. Amekuwepo pia Daniel Nsanzugwanko wa NCCR. Huyu pia anajulikana kwa usaliti wake. Kafulila amejaribu Chadema, akashindwa, NCCR pia ameshindwa. Hawa ni wachache, lakini pia kule chuoni alikuwepo rafiki yangu kutoka Kigoma ambaye kwa hakika alikuwa ni msaliti wa aina ile ile kama akina Walid Kaborou, siwezi kusimulia sana juu yake

Zito Kabwe ni msaliti na anajli zaidi maslahi binafsi. Baada ya kujipatia umaarufu, akiwa kijana kati ya Vijana wachache ndani ya bunge, akaweza kukaa karibu na rais na kukutana na viongozi mbalimbali duniani akaona anaweza kufanya lolote bila kujali amewezaje kufika hapo alipo.

Zito ni msaliti. Mtakaumbuka 2010 wakati wa kampeni, badala ya kumkampenia mgombea urais wa Chadema yeye alikuwa akitangaza kuwa 2015 atagombea urais. Kwa mwenye akili anaelewa huyu kijana namna gani vipi!

Zito huyu huyu, wakati wa vuguvugu la kutangaza matokeo ya urais, yeye yuko bize na Jack Zoka, afisa usalama anayeshughulika na siasa. Na walikuwa wakiwasiliana mara kwa mara. Hapa shaka kuu ipo kwa huyu bwana mdogo.

Zito, wakati wenzake wanaimarisha chama, yeye anajitangazia kugombea urais na hata siku moja hajawahi kushughulika na harakati za M4C. Kuna jambo hapa. Ikiwa anataka urais kupitia chadema ataupataje akiwa chama kitabaki kuwa cha msimu.

Zito Kabwela, anafahamu fika kuwa, enzi hizo alikuwa na nafasi kubwa ya kuweza kushika madaraka ya juu ndani ya chama na hata ya nchi ikiwa chama kingeweza kufanya vizuri katika uchaguzi mkuu siku zijazo. Lakini sasa matumaini hayo yanafutika taratibu baada ya kuona kuna Vijana wengi, wenye maono na uwezo mkubwa pengine kushinda hata yeye wameibuka chadema. Mfano Tundu Lissu, John Mnyika, Godbless Lema, Benson Kigaila na wengine. Sasa kwa kuelewa hili na kwa sababu za ubinafsi na usaliti anajaribu kutafuta namna ya kukivuruga chama, akiondoe kwenye lengo la msingi la kuimarisha uhai wa chama.

Zito Kabwe, atakuwa ndumila kuwili. Anatumwa na kutumiwa na pia ana tabia ya kujipendeza kwa wenye madaraka.

Conclusion: Zito anajiona anaweza, lakini namhakikishia hataweza. Kaborou alikuwa maarufu kumshinda yeye, Mrema (Augustino) alikuwa maarufu kumshinda yeye, lakini leo yupo wapi.

Kama ilivyo kwa wakristo, Yesu Kristo aliwaambia mitume wake "Sikuwachagua mitume 12 na mmoja wenu ni shetani?"

Wito wangu kwa WanaChadema, mjue kuna Viongozi wengi lakini miongoni mwao kuna wasaliti na mmoja wao ni Zito Zuberi Kabwe. Kwa mataendo yake kwa ustawi wa chama anajidhihirisha wazi.

Chadema, nawasihi muishi na huyu mtu kama mlivyoweza kuishi hata na Shibuda, mwisho wa siku ataamua kujinyonga mwenyewe kwani anguko lake litakuwa kubwa na la aibu.

Ndugu umeielewa kweli habari???? MAMBO YA CHADEMA yamefikaje hapa?? duuuuuu!!!!!! kweli walimwengu taabu
Chuki binafsi always hazijengi
 
zito alikuwa role model wangu kisiasa mbona kaharibika mapema sana,je ni nani kamloga

Alirogwa mwaka 2009 na dikteta wenu Mbowe baada ya kugundua kuwa kijana ana mpango wa kugombania kiti chake cha kifalme alichorithishwa na mkwewe. Au unajifanya hujui ma.---- we
 
Zitto alimpa shavu chenge ingawa alijua kuwa uamuzi wa chenge ulikuwa ni kudhoofisha maazimio ya bunge ili yaishie kuwa km maoni yasiyo na hakika.na hii zitto alijua kabisa ingesaidia waliofuata baada ya muhongo.kwa aibu akajifanya kuwa keshachoka....ili ujinga aliofanya uwe kwamba alichoka.lackily mbowe na wengine walishaona kuwa mama hakuwa akitafuta lugha sahihi sijui wanaiita vipi ila kusumbua watu na kuwachanganya ili lije suala la.kuiruhusu serikali ifanye uchunguzi kwanza.
 
Back
Top Bottom