Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

muda mchache baada ya zzk kuacha bunge sababu ya kukosa sifa za kuendekea kuwa mbunge,alisikika akijitapa kuwa ana uhakika wa kupata wabunge 50 kwenda kujiunga na act,lkn kati ya wabunge aliokuwa anawategemea shibuda tayari kajiunga na tadea,lembeli yuko njiani kuelekea ufipa,arfi amesema hagombei ,kafulila kamkana,mkosa mali kamkana,sasa sijui hiyo idadi ya 50 ataipata wapi,pole sana mh sana mzee wa mwandiga

hakuna mbunge hata mmoja toka ccma atakaye enda actccm ka sababu chama kilianzishwa na ccm na wote wanalijua hilo. Wewe huoni hata hao madiwani wanaokimbia ccm hawaendi kwa zittto?
 
Hivi Mwl Kaijage naye kafia wapi? Maana siku hizi hatuoni zile post zake za uzushi, au naye kala kona nini?
 
UYUDA si kazi ndogo! Hao unaosema anawashawishi walishaona manyunyu anayonyeshewa Yuda (Zitto) kila aendako hivyo wameshasoma ramani na kuona hakuna jipya. Zitto kwenye upepo wa kisiasa ana hali mbaya sana!!
 
Watu wakishagundua kama wewe ni msaliti hukuogopa kama ukoma, ndicho kinachoendelea hapa kwenye hiki chama cha wasaliti. Inawauma sana kusikia madiwani 20 wamechoma kadi zao za CCM na wote wanatua ndani ya CHADEMA hali kadhalika Wabunge aliowategemea wote wameamua kumkimbia baada ya kumuona hana maana yoyote.

Muda mchache baada ya zzk kuacha bunge sababu ya kukosa sifa za kuendekea kuwa mbunge,alisikika akijitapa kuwa ana uhakika wa kupata wabunge 50 kwenda kujiunga na act,lkn kati ya wabunge aliokuwa anawategemea shibuda tayari kajiunga na Tadea,lembeli yuko njiani kuelekea ufipa,Arfi amesema hagombei ,kafulila kamkana,mkosa Mali kamkana,sasa sijui hiyo idadi ya 50 ataipata wapi,pole sana mh sana mzee wa mwandiga
 
Back
Top Bottom