Zitto: Viongozi wanaua Viwanda vyetu kwa Maslahi yao ya Kibiashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto: Viongozi wanaua Viwanda vyetu kwa Maslahi yao ya Kibiashara

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 7, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mh Zitto Kabwe ameitaka Serikali kufufua viwanda na kujenga vingine ili kuendana na Ongezeko la watu nchini. Zitto amesema viongozi hawapiganii kufufua Viwanda kwa sababu wananufaika na kukosekana kwa bidhaa za Viwandani kwa mfano Sukari


  Mwenyeezi Mungu akulinde na mabalaa mheshimiwa Zitto kabwe unasema kweli kabisa hongera.......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...