jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,052
- 28,242
- Thread starter
- #21
Sikuwahi kudhani eti CCM inafanya mema kwa asilimia 100 ...Sikuwahi kuwa na msimamo huo...nifuatilie sana.Ndugu yangu hata kama unajiita jinga lakini ninahakika unaakili japo kidogo. Basi angalau siku moja jithidi tu kujua kuwa Taifa ni mhimu kuliko itikadi. Nchi hii imedumaa kwa sababu ya watu kama nyie mnaodhani CCM na yote yanayofanywa na CCM ndio sahihi. Bahati mbaya hii cancer imemea mpaka kwa hao Kina Supika na Mpaka juu kwa Raia no 01. CAG alisema ukweli kabisa hata me layman naona mfano rahisi tu ni 1.5T kuyeyuka kisha tunaletewa magazijuto na kila Pole slow. Limekuwa bunge la kujipendekeza na kupongeza tu. Walimpongeza mkuu kwa kumdhalilisha PM kwenye issue ya ununuzi wa korosho Leo inageuka janga kwa nchi. Ninahakika hata hiki kikokotoo ambacho alikipitisha kwa mikono yake kisha kafuta baada ya kuona zile asilimia za Twashindwa zimekwisha kabisa akafuta wangekuwa in session ningekuwa ni mwendo wa kupongeza tu. Jamani amkeni nchi hii tunashangaa babu zetu waliwezaje kukubali kuwa chini ya ukoloni lakini yanayofanyika now chini ya CCM tunapakia kuwekwa kwenye jumba la maonesho
Hatuhoji kwa sababu flani kasema nini dhidi ya CCM bali tunahoji kila linalofaa kuhojiwa kwa maslahi ya Taifa.