jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,052
- 28,242
Zitto akiwa mbunge hana budi kulinda heshima ya muhimili huo na hivyo kabla ya kuongozwa na mhemuko au chuki binafsi anapaswa kutulia na kutafakari.
Namshauri ndugu Zitto atuelimishe kuhusu kazi,mipaka na uwezo wa kamati muhimu ya bunge inayohusiana na kinga na madaraka ya Bunge.
Ikumbukwe kuwa maoni ya CAG hayajataja wabunge wa CCM tu bali bunge zima.
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
(1) Wajumbe wake huteuliwa na Spika.
(2) Katibu huteuliwa na Ofisi ya Spika.
(3) Majukumu ya Kamati;
(a) Kuchuguza masuala yote yahusiyo Haki,
Kinga na
10
Madaraka ya Bunge yanayopelekwa kwake na
Spika;
(b) Kushughulikia mambo yanayohusu Maadili ya
Wabunge;
(c) Kufikiria jambo lingine lolote litakalopelewa
kwake na Spika