Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Kama una uwezo kichwani halafu kiburi kimekujaa maana yake huwa uwezo wako ni bora ukabaki nao.Nimekuambia ili mpinzani upate nafasi ya kuonyesha uwezo wako ni lazima ujinyenyekeze na sio kila mtu anaweza hilo. Huyo Kitila Mkumbo anafahamika kwa tabia ni mtu wa kunyenyekea ili apate maisha. Halafu substance inapimwa na mamlaka hizi zilizojaa utashi wa kisiasa? Hivi Phillipo unadhani haya yanayofanyika hapa nchini huwa sisi ni vipofu na wala hatuoni utashi wa maamuzi ukoje? Kama kweli huyo Kitila alikuwa anaamini kwenye upinzani bali uwezo wake ndio ulivutia mamlaka, alikuwa na ulazima gani wa kuhamia ccm kama hakuwa pandikizi tu?
Kama una uwezo kichwani halafu unatawaliwa na chuki au jeuri ya kufa na tai shingoni, basi tambua kuwa wanaosomeshwa kwa sasa kati yao wanaweza kuwa na akili kuliko wewe, hivyo ni bora ufe tu na elimu yako.