Eti kaandika barua kwa Spika akiomba uenyekiti wa kamati ya Nishati na kamati nyingine moja(siikumbuki).Kumbe mbwembwe zoote za kuusifia utawala wa magufuri ya ccm na kujitenga na wapinzani ulikuwa na lengo lako la kuvizia nafasi za uongozi wa kamati za bunge?umetuangusha wapiga kura wako
Kumbe mbwembwe zoote za kuusifia utawala wa magufuri ya ccm na kujitenga na wapinzani ulikuwa na lengo lako la kuvizia nafasi za uongozi wa kamati za bunge?umetuangusha wapiga kura wako
Aisee jamaaa ni chumia tumbo kabisa na anaongozwa na tumboHawawezi kumpa kwa kuwa wanajua ni mnafiki na msaliti. Yeye asubiri kupewa kazi maalumu ya kuvuruga upinzani kwa mkataba wa malipo. Kinyume cha pale ccm hawawezi kufanya kosa la wazi kuwa na joka kati kati yao linaloweza kuangamiza kila mtu asipokidhi matakwa linayotaka. Zzk hana uzalendo wala uchungu wa chochote zaidi ya sifa na maslahi yake BINAFSI!.
Ni mtu wa ovyo saana!.Aisee jamaaa ni chumia tumbo kabisa na anaongozwa na tumbo
Mkuu kwani bunge lililopita si alikuwa pia mwenyekiti wa kamati? Mbona tulifaidika sana kipindi kile cha Tegeta Escrow akiwa na marehemu Filikunjombe?Kumbe mbwembwe zoote za kuusifia utawala wa magufuri ya ccm na kujitenga na wapinzani ulikuwa na lengo lako la kuvizia nafasi za uongozi wa kamati za bunge?umetuangusha wapiga kura wako
Mbona hatujasikia mbunge mwingine kutoka upinzani kuomba hiyo nafasi? Huyo njaa inampelekesha sana na hiyo escrow iliibuliwa na kafulila wala siyo huyo chumia tumboMkuu kwani bunge lililopita si alikuwa pia mwenyekiti wa kamati? Mbona tulifaidika sana kipindi kile cha Tegeta Escrow akiwa na marehemu Filikunjombe?
Kama wenzake katika kamati wakimchagua tatizo liko wapi?
Nionacho hapa ni phobia tu na chuki binafsi. Au kwa vile hajawaangukia Ukawa kuomba msaada ndiyo maana mnaongea kwa jazba?
Kuomba nafasi ya uongozi ni haki ya mbunge yeyote.
Acha Viroba wewe ulimpigia kuraKumbe mbwembwe zoote za kuusifia utawala wa magufuri ya ccm na kujitenga na wapinzani ulikuwa na lengo lako la kuvizia nafasi za uongozi wa kamati za bunge?umetuangusha wapiga kura wako
PAC huongonzwa na upinzani ila kwa sasa Zitto si mpinzani.Kamati ya hesabu za serikali kwani imekuwaje, si ndiyo ya lazima kwa wapinzani kutokana na matakwa ya nchi wahisani.?
Kwahio ulitaka Umungu mtu DJ,KUB DJ,Na mwenyekiti Wa kamati awe DJ!Eti kaandika barua kwa Spika akiomba uenyekiti wa kamati ya Nishati na kamati nyingine moja(siikumbuki).
Anyway, labda huo ndio utaratibu wenyewe na yeye uenyekiti wa kamati ndio raha yake.