Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

Zitto na Mbowe sioni tofauti kati yao, Wakati Zitto akitumikia CCM,Mbowe anatumia upinzani kwa ajili ya maslahi yake na genge lake..

Hakuna mwenyu upinzani wa kweli ndani ya moyo wake...

Sent using Jamii Forums mobile app
manufaa gani unaweza kuelezea kidogo maana ninavyojua kila chama cha siasa kinapata manufaa
 
ww ni kilaza kwelikweli

Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
 
Kama mada inakuzidi akili na umri uwe unaipita kimya kimya tu. Umeshaambiwa ukimuangalia kwa kutumia jicho la tatu (akili kubwa zaidi na ya tafakari), halafu wewe kwa ufinyu wako unakuja kuomba ushahidi, ushahidi kwenye mambo ya tafakari na analysis?
Kama huna akili kubwa pita kimya tu
kama huna uthibitisho ni vema ukafunga bakuli lako pungua waheed wewe

Jicho la tatu obvious lazima utupe vielelezo vinavyoashiria hali ya Zito kutokuwa mpinzani

Hii ni mada ngumu kwenu ninyi timu saccos, hamtaki kuamini kwamba Zitto na ACT yake ndio kitakua chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulitaka akufanye nini ndio umwamini kama ni mpinzani wa kweli?

alale na mama yako au
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Weak and poorly mind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sifa ya vijana wa Ufipa ni kutuhumu tu. Ukiwauliaza ushshidi, utaambiwa hujui kitu kalale. Wakiitwa kutoa kistaarabu kutoa maelezo, hawaendi. Wakipelekwa kwa nguvu, wanadai wametekwa kuminya uhuru wa kujieleza. Sasa hivi wanamtuhumu Zitto huku wote hawana tofauti. Wote wamejawa na gubu la nani aonekane zaidi. Wakishindwa uchaguzi, wanailaumu CCM! Wajinga kabisa!
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Ila mabwashee mna matatizo sana.

No wonder CHADEMA wanasema ya wachaga.

Sababu ya wachagga kutipipenda ACT na Zitto zinafahamika wala usitumie nguvu kubwa kubunibuni visababu, labda danganya watoto wa 2018.
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Kuna katoto Fulani kamehitimu chuo juzi, kalijiteka kakashinda kesi, kakiona bandiko hili katakukushambulia,

sisi watu wazima tunakacheck kwa mbali, tunajua katakapoishia, kama yule diwani aliyegombea ubunge baadaye akaunga mkono juhudi
 
Zito bado sana kuwa kiongozi,
Mjanja mjanja tu. Watu makini tuko mbali naye
Kuongea sana na uongozi ni vitu tofauti

Watu wanamshbulia sana pasco, wanamsahau zitto, siyo wa kumwamini
 
Back
Top Bottom