Zitto: Tunaomba radhi kwa mapungufu yaliojitokeza

Maelezo ya Bajeti Kivuli


Mapato haya yamo ndani ya Hotuba ya Bajeti Mbadala lakini kwa makosa ya kihariri hayakuonyeshwa kwenye jedwali na hivyo kuleta usumbufu kwa Wabunge na Watanzania wengine waliopata fursa ya kusoma Hotuba yetu. Tunaomba radhi kwa usumbufu. Nawashukuru walioona tatizo hili na hii inaonyesha kuwa wabunge wanasoma kwa makini Bajeti ya Upinzani.

Ninawatakia mjadala mwema wa Bajeti.

JUMLA YA MAPATO YA NDANI
Tshs. Millioni 11,889,078/-

MAPATO YA KODI
Tshs. Millioni 10,232,539/-

MAPATO YASIYO YA KODI
Tshs. Milion 1,163,533/-

MAPATO YA HALMASHAURI
Tshs. Milioni. 493,006/-

Kabwe Zuberi Zitto,Mb
Waziri Kivuli wa Fedha

Yaani jumla ya Kodi za Halimashauri na Mapato yasiyo ya Kodi ni KIDOGO kuliko FEDHA zinazoibwa KWA MKUPUO MMOJA toka safari 3 HEWA za Kikwete? Hapa MTU kweli siyo DHAIFU?
 
Yaani jumla ya Kodi za Halimashauri na Mapato yasiyo ya Kodi ni KIDOGO kuliko FEDHA zinazoibwa KWA MKUPUO MMOJA toka safari 3 HEWA za Kikwete? Hapa MTU kweli siyo DHAIFU?



sidhani kama hiyo ndiyo maana, ninacho kiona hapo ni kwamba figure zilizoko hapo ziko katika mamilion, ina maana uongeze sifuli kadhaa hapo mbele.
 
Back
Top Bottom