Emmanuel J. Buyamba
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,167
- 651
Kwani akiwa mwakilishi ndiyo hawezi kuteuliwa na kisha akaachana na uwakilishi?mazrui ni muwakilishi wa kuteuliwa na raisi
Kwani akiwa mwakilishi ndiyo hawezi kuteuliwa na kisha akaachana na uwakilishi?mazrui ni muwakilishi wa kuteuliwa na raisi
sina jibu la uhakikaKwani akiwa mwakilishi ndiyo hawezi kuteuliwa na kisha akaachana na uwakilishi?
Babu Duni ndani ya mjengo
sina jibu la uhakika
Kiongozi wa chama ni mtu mhimu Sana. Hasa kwa jicho la Kimuungano.Tamko hakutakuwa atoe Zitto Kabwe lilitakiwa kutolewa na viongozi wa ACT wazalendo wa Upande wa Zanzibar.
Ilikuwaje sasa huyu Muarabu akiwa CCM alipewa uwaziri kiongozi? Au Uarabu aliupata akiwa Upinzani?Wasije wakajichanganya tena wakatuletea mwarabu.Huyo hatakuja kuwa rais wa Zanzibar.
Maalim hakuweza kupewa urais kwa sababu alikuwa mwarabu.Msimamo huo ni sahihi kabisa kwa sababu mweusi kama miye siwezi kupewa hata uwenyekiti wa kitongoji tu huko uarabuni.
Inasemekana ni OthmanNope. Ni babu Duni.