ZITTO: Tumeshampendekeza Mrithi wa Maalim

1. Mazrui
2. ManSour Y. HIMID
3. Babu Duni Haji
4. Ismail Jusa
5. Yule mwanasheria
Nb: Binafsi nilitamani Mazrui kuteuliwa awali hata kabla ya Maalim Seif. Lakini naamini Maalim aaingeweza kukubali kiti hicho kwenda kwa mwengine. Nafasi ya Uwakilishi ya Mansour nayo yaweza kuwa kikwazo. Anyway,tusubiri hilo tamko tujue ni nani na tuanze kumjadili....
 
Oh yes, I strongly concur with you!

Mazrui fits the bill. Mazrui is a good and responsible person. Anajielewa na kujitambua, alifanya kazi za chama kwa karibu sana na Maalim Seif RIP.

Anyway, pamoja na hivyo hatujui Maalim Seif alimpendekeza nani, na kwa vyovyote pendekezo lake litaheshimiwa.
Inafurahisha kwamba kabla ya kufa marehemu tayari alikuwa na jina lake mfukoni la yule atakaekuja kumrithi.
 
Hapana tumepeleka jina moja tu ila tumeliandika mara 3.,
Mkuu inakuwaje Jussa hatajwi sana wakati tunamuona ana potential kubwa..... Hata Lowassa ndiye alimtaka awe mgombea mwenza 2015! Hta Kina Lissu walimuomba agombee ubunge sio uwakilishi 2015 ili aingie kwenye siasa za kitaifa.

Kina Mazrui na Duni ni sawa lakini sio future ya ACT watakuwa wazee sana.... Ilipaswa apatikane ''kijana'' ili aongoze kwa miaka 10-15 ijayo chama kiimarike.
 
Mkuu inakuwaje Jussa hatajwi sana wakati tunamuona ana potential kubwa..... Hata Lowassa ndiye alimtaka awe mgombea mwenza 2015! Hta Kina Lissu walimuomba agombee ubunge sio uwakilishi 2015 ili aingie kwenye siasa za kitaifa.

Kina Mazrui na Duni ni sawa lakini sio future ya ACT watakuwa wazee sana.... Ilipaswa apatikane ''kijana'' ili aongoze kwa miaka 10-15 ijayo chama kiimarike.
Jussa mkuu wamemvunja miguu hujamuona kwenye kigari wakati wa maziko ya maalim? atafanyaje kazi kama haja recover vizuri?
 
I was cool headed then and I am right now.

Hata kama hujasema maoni yako ndio final, ila fact ni kwamba maoni yako is not important today, now I mean. Jina lishapelekwa be is Mazrui's or somebody else.
Leo ndio nimeamini kwamba kumbe kila binadamu amezaliwa na a unique analytical mind! Kwani tunacho bishana hapa ni nini hasa!! Kwamba a glass half full na a glass half empty ni vitu viwili tofauti, wakati ukweli wa mambo ni kitu kile kile, inategemea perception ya muhusika anavyo lichukulia.
 
Wasije wakajichanganya tena wakatuletea mwarabu.Huyo hatakuja kuwa rais wa Zanzibar.
Maalim hakuweza kupewa urais kwa sababu alikuwa mwarabu.Msimamo huo ni sahihi kabisa kwa sababu mweusi kama miye siwezi kupewa hata uwenyekiti wa kitongoji tu huko uarabuni.

Unasumbuliwa na maradhi ya Ubaguzi

Pole sana, Get well soon mkuu
 
Back
Top Bottom