Bro hii kitu nilitahadharisha wiki mbili zilizopita hapa hapa JF. Na nilisema . Najinukuu, Tusipokuwa makini ndani ya miezi miwili, Tanzania itakuwa Kama Zimbabwe, wakaja wale wachumia Tumbo wa humu humu JF na kejeli kibao, sasa maneno yangu yanaanza kutimia, subirini mpaka mwezi wa 3 halafu tutarudi hapa hapa, coz, time ndiyo kila kitu.Thamani ya Tshs dhidi ya Dola ya Marekani inazidi kuserereka. Leo $1 unanunua kwa tshs 2235
Nini kinaendelea ?
Kihaya inaitwa MWAFWAAkikinshasa hii hali inaitwa muzina litata
Tukitoka hapo tunakwenda kwenye BONDE LA UFAnchi imetumbukia kwenye korongo.
Bro,missing u.Ni Bora ya Jacob Zuma hajasoma hata darasa moja lakini Uchumi unapoyumba anastuka na kuweka mikakati Elimu za Bongo mnajipachika Phd za Uongo tuu...