Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

Zitto Mwenyewe kaitisha Kura ya maoni Znz kuamua waingie kwny Ulaji wa Dr Hussein au laa....
Hiyo paragraph ya mwisho ndio niko kwenye mchakato wa kuitafutia majibu, naamini early next week nitakuwa nimeshayapata.
 
Siku zote nimesema CHADEMA hawakumtendea haki Zitto. Kama ambavyo hawakuwatendea haki Lwakatare na Kubenea.

Amandla....
 
Uko sahihi kabisa, ila kitu sikipati kutoka kwako ni lini ulimsikia Zitto akilialia kuhusu kufukuzwa?

Naikumbuka vema hata hotuba yake ya mwisho akiaga bungeni, March 2015...
Huko twitter kwenyewe alikuwa analialia, akisema .... no grudges yet bado analizungumzia hilo maana yake bado roho inamuuma.

Anyway tuliache hilo.

Hayo mambo ya chama kupata nguvu kwa kusubiri wasaliti wa "chama A" wahamie "chama B" unayaamini kweli? watawasaidia?

Kwa hilo wacha kujipa matumaini ya bure, ingekuwa ni hivyo Chadema leo kingekuwa dhaifu sana, kwasababu waliondoka kina Zitto na wengine wakaenda kuanzisha vyama huko, Mkumbo akaenda CCM lakini mpaka leo bado wanatafuta ushindi kwa kura za kwenye mabegi, bado unaamini nguvu ya masalia? na Chadema je, unaiona imekuwa dhaifu kwasababu hao jamaa walihama?

Viongozi wa hivyo vyama wakae chini wajenge vyama vyao, hii kusubiri kubahatisha masalia ya Chadema ni kujipotezea muda wao tu.
 
Mbona unaongea kama mama mjamzito? Una mimba ya miezi mingapi nikuletee malimao?
Ntonvanve eebhe ng'hana, wewe utakuwa mmoja wao hao wanaharakati haiwezekani umfikirie mwanaume mwenzio ujauzito. Hiiiii ulikarogi ubhe
 
Unahangaika sana kaa utulie dawa ikuingie taratibu,Mdee na Genge lake leo wanatupwa nje baada ya kukubali kununuliwa kirahisi.
Mtaduwazwa na maamuzi ya CC leo na hamtokaa muamini maisha yenu yote na ndio mtajua kuna makundi mawili ndani genge, yaani wapigaji na wanaharakati. Mwanaharakati alishasepa Ulaya sasa wamebaki wenye Saccos yao unataka wakale wapi?
 
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.

Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.

Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio hilo.

Zitto alihamia ACT-Wazalendo Machi 2015 akitokea CHADEMA ambako walimtuhumu kuwa msaliti.

Zitto naye bado ana mtego Zanzibar
 
Hahaha arudi kama anataka, analamika nini kama mwanamke aliyeachwa?!

"Sikupewa talaka" kuachwa kuachwa tu.
 
Zitto naye bado ana mtego Zanzibar
Mtego wa Zanzibar Zitto anaukabili vyema. Hajatoa msimamo wa chama hadharani kuhusu kujiunga au kutojiunga na SUK. Ila ameacha kaupenyo kakujificha akikubali atasema maoni ya wananchi wengi wanakubali tujiunge.

Tatizo CHADEMA mmekurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari kabla ya CC kukutana kwa hiyo tayari viongozi na taasisi zake zinataka wananchama na CC iamue kwa uelekeo wao hata pale maamuzi yatatakiwa kufanyika kwa maslahi mapana ya chama.
 
Mtego wa Zanzibar Zitto anaukabili vyema. Hajatoa msimamo wa chama hadharani kuhusu kujiunga au kutojiunga na SUK. Ila ameacha kaupenyo kakujificha akikubali atasema maoni ya wananchi wengi wanakubali tujiunge.

Tatizo Chadema mmekurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari kabla ya CC kukutana kwa hiyo tayari viongozi na taasisi zake zinataka wananchama na CC iamue kwa uelekeo wao hata pale maamuzi yatatakiwa kufanyika kwa maslahi mapana ya chama.
Maamzi ni COV 19 wafukuzwe haraka
 
Nakee, noni? Nakunyelile ubhebhe 🤣🤣🤣🤸‍♂️🤸‍♂️

Tulekaga agenayo galibita duhu nkoyi. Mhola ahene.

Kila la heri ndugu yangu, umenifurahisha na sarakasi za siasa za nchi hii
Vipi mzee 😂😂 za wapi ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom