Zitto: Shida sio mabeberu shida ni watawala kwa miaka 2 tumepoteza $250m za mbaazi na $500m za korosho, tumenunua ndege imelala

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1552450171173.jpg


8C86F535-42F4-4375-893B-A89417334BFA.jpeg
 
Pia ndani ya miaka 2 mzee baba.mzee wa hiyo mipango mibovu ya kibabe naona amezeeka kwa kasi ya ajabu na akiendelea hivi akifika kwenye kampeni akiweza kupiga pushup 5 haki ya nani nahamia ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaa,aisee nilimuona juzi kwny msiba wa Ruge anatembea kama anasukumwa halafu uso umefubaa,nywele sijui zimenyonyoka yani utadhani mwanakijiji wa Sitimbi nikajisemea Chinekeeeh! Hizi kazi za kusukumizwa hizi!
 
Tunahitaji economics reform ila wataalamu wanapuuzwa na ushauri haufatwi....
Wataalamu wameacha taaluma zao wameamua kufuata upepo unapovuma... Wameamua kusifu na kuabudu.
Maprofesa wameacha utaalam wao
Ma phd holders wameacha fan zao...
Wameamua kufuata tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom