kote mambo yako shwari isipokuwa kwa shibuda ndo sina taarifa za hivi karibuni...kwa zitto ushindi sio swali bali alikuwa anasubiri kuapishwa tu. mnyika nae mpaka sasa tuna uhakiaka ataongeza nguvu ya upinzani bungeni
Tunataka Chadema iwe na wabunge 106 kwa kuanzia............na mengineyo yatafuata.............