Elections 2010 Zitto, Shibuda, Wenje, Mnyika, na sehemu,.............

kote mambo yako shwari isipokuwa kwa shibuda ndo sina taarifa za hivi karibuni...kwa zitto ushindi sio swali bali alikuwa anasubiri kuapishwa tu. mnyika nae mpaka sasa tuna uhakiaka ataongeza nguvu ya upinzani bungeni

mura tupe mambo naona hujalala leo.
 
Naona mnyika safi,sijui kwa halima mdee kawe mambo yameendaje lakini mwendo mdundo pia kwake
 
Tunataka Chadema iwe na wabunge 106 kwa kuanzia............na mengineyo yatafuata.............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom