zitto mlala hoi kama mimi tuh
brand new range rover hii kaipata wapi??
Tumehoji ya yule msukuma maige na ufisadi wake,huyu hatuhoji kisa nin??yeye anavaa gwanda au?
Hawa wote wezi tuh?na siku zao zinahesabika..!
Wacha katiba ije,watatafuta pa kukimbilia..!
Haya majungu ndo kwanza nimeyasikia, lete ushahidi ili tukuamini. Ya Mh. Maige tulionyeshwa hadi picha ya nyumba na wewe funguka zaidi. Vinginevyo utakua na sababu nyingine.